Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mkuu ukweni kumetoka wapi hapo??Yeye aishi kwangu sio Mimi kwenda kuishi kwa Mwanamke au Ukweni Hilo Jambo haliwezekani kwa Upande wangu Bora niwe na Mfumo Dume
Wa kulelewa hivyo haondoki kwa wazazi hadi apate ndoa, so hatalelea kijana maghetoni.Wewe ume lelewa kama kuja kuwa Mwanamke,Mama wa familia ?!
Tuanze hapo kwanza
Utaponza kinyeo shauri zakoWe jamaa hujiamini, na kweli una mfumo dume na ni wa kindezi sana..
Mambo ya kujiuliza chap chap, huyo Ke anafanya kazi gani, analipwa bei gani, mafanikio yale yanaendana na hustle zake??
Vitu kama gari na nyumba ni vidogo kwa Ke mpambanaji maana wana mianya mingi, loopholes nyingi hasa hapa Tz za kutusua.
Unakuta Ke kwao wako njema, kazi nzuri analipwa gud, wakubwa zake wako njema. Afu utilie shaka mali zake??
Tafuta pesaEti ebu njooni mnijibu ....sisi sijuhi tutaolewa na nani?
Mwanaume akikutongoza sasahv anakuuliza unaushi wapi,ukimwambia nyumban
Anakuuliza tena kwako au kwenu?
Sasa ukijiroga ukasema unaishi kwako,Basi ataanza nataka kuja kukusalimia ,,,,,ukikosea tu ukamkaribisha atakukula humo humo ndani kwako.
Yaani utampa chakula ale na wewe atakukula free
Atalud tena na tena usipokua makini atahamia moja kwa moja
Au wengine wanatabia hii babe nikopeshe laki hapo,
Mara una 50k hapo
Ladies ukitongozwa sasa hivi Kama unaishi kwako SEMA unaishi kwenu kwa wazazi wako.
VIJANA wa SIKUHIZI wamekosa haya
Wameupoteza uanaume wao.
Unapata wapi ujasiri wa kulala kwa mwanamke hujuhi hata rent analipaje?
Hivi Sisi wa karne hii tutaolewa na nani? Kama wanaume wenyewe ndo Hawa
Wazazi leeni watoto wenu wa kiume Kama wanaume ambao watakuja kuwa baba,mume,na kiongozi Katika familia
Nyie mnataka kupewa tuu, Baby naomba laki, naomba elfu 50 ,huwa mna rudisha, au ukitoa uchi ndiyo unaona ume maliza kazi, mtaji uchi au siyo ?!Eti ebu njooni mnijibu ....sisi sijuhi tutaolewa na nani?
Mwanaume akikutongoza sasahv anakuuliza unaushi wapi,ukimwambia nyumban
Anakuuliza tena kwako au kwenu?
Sasa ukijiroga ukasema unaishi kwako,Basi ataanza nataka kuja kukusalimia ,,,,,ukikosea tu ukamkaribisha atakukula humo humo ndani kwako.
Yaani utampa chakula ale na wewe atakukula free
Atalud tena na tena usipokua makini atahamia moja kwa moja
Au wengine wanatabia hii babe nikopeshe laki hapo,
Mara una 50k hapo
Ladies ukitongozwa sasa hivi Kama unaishi kwako SEMA unaishi kwenu kwa wazazi wako.
VIJANA wa SIKUHIZI wamekosa haya
Wameupoteza uanaume wao.
Unapata wapi ujasiri wa kulala kwa mwanamke hujuhi hata rent analipaje?
Hivi Sisi wa karne hii tutaolewa na nani? Kama wanaume wenyewe ndo Hawa
Wazazi leeni watoto wenu wa kiume Kama wanaume ambao watakuja kuwa baba,mume,na kiongozi Katika familia
Wamepanga kibao mtaani kodi wanalipa kwa kudanga, wanataka uhuru wakiwa kwa wazazi wao hawadangi kwa uhuru mkuu.Wa kulelewa hivyo haondoki kwa wazazi hadi apate ndoa, so hatalelea kijana maghetoni.
Mambo yamekuwa magumu sanaWamepanga kibao mtaani kodi wanalipa kwa kudanga, wanataka uhuru wakiwa kwa wazazi wao hawadangi kwa uhuru mkuu.
Hapana hiyo 50/50 yenu ni ya mchongo, yani mnaitaka kwenye majukumu yenu tu ila siyo ya mwanamke, haiwezekani mseme 50/50 huku majukumu ya nyumbani bado yanaonekana ya mke na bado mke anatakiwa kumtii mumeSi mmedai tuwape 50/50?
Ina gharama zake Mama
WE nawe umejawa nongwa tu kupenda kufanya wenzako wajisikie vibayaKtk kitu Sijawai kufanya na sito Fanya Ni kulala kwa Mwanamke au kumla Dem ktk Geto lake.
Huo mchezo ukiupenda jiandae siku kuliwa wewe.
TRUE STORY.
Mwaka 20.. nilipata Demu mmoja mzuri kwa muonekano na ni mzuri wa umbo kwa Mtazamo wangu, huyo.
Nilimpenda Sana yule binti tulianza mahusiano siku ya kwanza nilimla yule Demu lodge.
Ila Sasa akataka siku aje kwangu nilimkaribisha, alikuja akala kwangu ilikua siku ya Ijumaa anaondoka Juma pili.
Tuliendelea na mahusiano, Ila siku Moja yule Demu alitaka nimtembelee kwake hapo ndo Tatizo lilipoanzia.
Nilimuliza unaishi na nani, akesema anaishi peke yake.
Nilimwambia ntakuja Ila ntakuja na Mdogo wangu,
Nilimtafuta Mdogo wangu wa kitaa weekend nikaenda nae.
Tulikaa kwa yule Bint Kama masaa mawili nikamwambia yule binti tunaondoka maana Dogo anakaa Mbali inatakiwa nimrudishe, kiukweli yule Bint sio mtu wa Virungu, Ila alionekana kutopenda mimi kwenda pale kwake na Mdogo wangu.
Mimi nilienda nae kama ulizi ili tuwe watu zaidi ya mmoja ili Kama linatokea lolote kuwe na msaada.
Badaye alinitumia sms kua "uwahi kurudi nakuandalia Juice"
Nilikaa kimya kidogo badaye nikamjibu "Kuna nguo za kufua Nyumbani naenda kufua".
Nilimkwepa Mara Nyingi kwenda kwake, hilo alilalamika kuwa sipendi kwenda kwake.
Ilitokea siku moja tupo Wote alitaka niendeshe Gari yake, Hilo Jambo pia nililikataa akanimbia "mpezi wangu Why unakataa hii Ni Gari Yangu, sijanunuliwa na mtu, mbona unakua hivyo".
Siku hiyo aliindoka akiwa hayuko sawa Ila Baada ya muda alinitafuta akitaka tutoke Ila tutumie Bajaji maana nimekataa kuendesha Gari yake, nilikubali tukatoka Ila sukupenda kuendesha Gari ambayo sijui aliongwa au kuna nini nyuma yake.
Mapenzi yaliendelea Mimi nilikua nakaa nyumba ya kupanga yule binti akanimbia hile nyumba anayoishi ni yake nisisumbuke na Kodi akaniambia pale anapoishi ni Nyumba yake, siku alivyonambia maneno sikulaza Damu nilimjibu Fasta
"siwezi kuishi katika Nyumba ya Mwanamke".
Nilipomjibu hivyo alisema Mimi Nina mfumo Dume, maelewano yalikua madogo Sana.
Kuanzia hapo mahusiano yalikua na mgogoro kiasi ikafikia hatua tukaachana.
Mi Binafsi siwezi kwenda ishi kwa mwanamke, ni sawa sawa na kuishi ktk Hifadhi ya Barabara.
Heeeey......MayooooHapana hiyo 50/50 yenu ni ya mchongo, yani mnaitaka kwenye majukumu yenu tu ila siyo ya mwanamke, haiwezekani mseme 50/50 huku majukumu ya nyumbani bado yanaonekana ya mwanamke na bado mke anatakiwa amtii mume
Baharia kakugonga kwenye kakochi kako nini magetoniEti ebu njooni mnijibu sisi sijui tutaolewa na nani?
Mwanaume akikutongoza sasa hivi anakuuliza unaushi wapi, ukimwambia nyumbani
Anakuuliza tena kwako au kwenu?
Sasa ukijiroga ukasema unaishi kwako, basi ataanza nataka kuja kukusalimia ukikosea tu ukamkaribisha atakukula humo humo ndani kwako.
Yaani utampa chakula ale na wewe atakukula free
Atarudi tena na tena usipokua makini atahamia moja kwa moja
Au wengine wanatabia hii babe nikopeshe laki hapo,
Mara una 50k hapo
Ladies ukitongozwa sasa hivi Kama unaishi kwako SEMA unaishi kwenu kwa wazazi wako.
VIJANA wa SIKU HIZI wamekosa haya. Wameupoteza uanaume wao.
Unapata wapi ujasiri wa kulala kwa mwanamke hujui hata rent analipaje?
Hivi sisi wa karne hii tutaolewa na nani? Kama wanaume wenyewe ndo hawa
Wazazi leeni watoto wenu wa kiume kama wanaume ambao watakuja kuwa baba, mume na kiongozi Katika familia
Ni wanaume ndio mnaotakiwa muanze kubadilika kama mnataka 50/50 basi nanyi mkubali kufanya majukumu ya nyumbani ikiwemo kulea watoto tangu wakiwa wadogo kama huko kwa wazungu, na pia msilete itikadi za mwanaume kumtawala mwanamke maana hayo ni mambo ya mwaka sabini dunia ya leo kila mtu anataka kujitawala mwenyewe, kama hamtaki 50/50 na hamko tayari basi msilalamike wanawake kufanya wanayoyafanya wako sahihi kabisaNyie mnataka kupewa tuu, Baby naomba laki, naomba elfu 50 ,huwa mna rudisha, au ukitoa uchi ndiyo unaona ume maliza kazi, mtaji uchi au siyo ?!
Maisha haya angalii una K au Dudu ... Maisha yana kupiga tuu tena barabara bila huruma.
Tumia akili, kwani huyo mwanaume kakukopa mara ngapi, na yeye amekupa au kukukopesha mara ngapi, kwake na wewe umewahi kwenda kula au kulala mpaka kwako akija umuone wa ajabu, myie si wapenzi nenda kwake na yeye aje kwako hata kama akilala kwako acha misemo ya kijinga eti mwanaume utalala vipi kwa mwanamke hujui analipaje rent, sawa hajui unalipaje rent muambie basi unavyolipa hiyo rent kama una uza, au una danga au una fanya kazi, mshahara wako una utumiaje kulipa rent na mambo mengine.
Maisha ya sasa hayana cha uanaume wala uanamke narudia tena, hichi kitu wanawake hamki elewi, mme shikamana na mitazamo ya miaka 70 kipindi hiko mashamba kibao mwanaume wewe tuu una pewa shamba jenga nyumba ya udongo anza familia ni nguvu yako tuu ya kulima heka 2 ,5 10 ili ulishe familia sasa hivi hata 20 lwa 20 ina uzwa bei mbaya...
Wanawake badilikeni...eti mwanamke hawezi mkopa mwanaume...sasa kama ana shida akakope wapi, huu ujinga mbona wasichana wa kizungu hawana, au wale hawana K nyie wakibongo ndiyo mnazo tuu.
Mna jazana ujinga tuu toka kwenye familia,saloon mkiwa mna piga umbea na ujinga huo huo ndiyo mna peleka kwenye ndoa. Ndiyo maana ndoa zina washinda myie sikuhizi...
Taja makosa ya mwanaume na makosa yako tujue tuna judge vipi hiyo kesi siyo kuja hapa kulalamikia upande mmoja tuu wanaume wanaume....
Anyway sorry kama kuna sehemu nime kukwaza but its fucking boring.
Hapana hiyo 50/50 yenu ni ya mchongo, yani mnaitaka kwenye majukumu yenu tu ila siyo ya mwanamke, haiwezekani mseme 50/50 huku majukumu ya nyumbani bado yanaonekana ya mwanamke na bado mke anatakiwa amtii mume
Ni wanaume ndio mnaotakiwa muanze kubadilika kama mnataka 50/50 basi nanyi mkubali kufanya majukumu ya nyumbani ikiwemo kulea watoto tangu wakiwa wadogo kama huko kwa wazungu, na pia msilete itikadi za mwanaume kumtawala mwanamke maana hayo ni mambo ya mwaka sabini dunia ya leo kila mtu anataka kujitawala mwenyewe, kama hamtaki 50/50 na hamko tayari basi msilalamike wanawake kufanya wanayoyafanya wako sahihi kabisa
Acha mawazo ya kishogaUtaponza kinyeo shauri zako