Vijana sio waaminifu. Nusura niingie JELA. Sitakuja kumdhamini Mtu walahi

Mimi NI wale Watu àmbao Naamini ubaya na Wema hauna Kwao.

Niliwahi jaribu kufuata mapokeo ya Wazee kuhusu Imani na uaminifu wa Watu WA Baadhi ya maeneo nikaangukia pua.

Alafu wale niliowahofia wakafanya vizuri
Aisee pole hata hivyo we ni jasiri mwingine asingehangaika hivyo,

Haya malizia story
 
Ndo maana waafrika hatusogei, kawaharibia vijana wangapi? Ambao ungewashika mkono?
 
Gazeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…