Vijana sio waaminifu. Nusura niingie JELA. Sitakuja kumdhamini Mtu walahi

Unajua mtibeli swala la uhaminifu kwa hapa nchini ni swala la kitaifa ni mfumo ndio ulivyo hautaki watu wakweli na waaminifu.

Sasa tukiwa tunawasema vijan pekee hatuwatendei haki tuanze kwenye chanzo hukohuko ili huku chini iwe rahisi.

😃😃
Tuanzie serikalini
 

Unaelewa nini Mtu akisema same but not similar?
 

Vijana wanahitaji msaada.
Unajua hapa Mjini kitu kikubwa kinachomata ni CONNECTION Nani unamjua, na unamuamini
 
Taikuni usifosi kusound good hii story umepika ila ishi

Kwamba Tukio halikufanyika?
Yapo matukio Mengine nikieleza hapa Baadhi ya Watu kama wewe mtashangaa Sana na kutokuamini.

Lakini sio Kosa kutokuamini kama Huna uthibitisho
 
🤣
 

Inatia huzuni sana.

Jamii hii ya kina SYLLOGIST! na wapambe wao si ya kuonea haya wala huruma.

Hii bila kujali vyama, kama bado yanapumua ni kuyapiga za utosini hadi yanyooke.

Kila kitu siasa zisizokuwa na tija yoyote popote.

Bure kabisa!
 
Hali ni mbaya sana janga la vijana kutokuaminika pia linachamgiwa na wazazi au walezi hawakai na vijana na kuawaelekeza uaminifu ni kitu cha muhimu,hakuna ambaye hajaonja machungu ya kutokuaminika kwa vijana.Ila saa nyingine ukikaa nao na kuwashauri wanakuelewa,shida kubwa pia iko kwenye malezi watu wenye nafasi hawatumii muda hata wa nusu saa kushauri hawa vijana.
 
Hatari Sana
 
Mbwa zingine zinatakiwa kuzikaushia zile msoto zimeharibika vichwa.Anyway we jamaa una skills kali sana za upelelezi unanikumbusha mbali sana tulienda kumdaka kizembe dogo anaejihusisha na utapeli na baadae akawa na connection na mambo ya kigaidi.Mitandao ya kijamii ni msaada mkubwa sana kwenye upelelezi aisee
 
TAIKON unajua kusimulia aah hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…