Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

KAKA wewe ndo hujui kabisa, sio kwamba madaktari hawahitajiki kabisa kule yapo magonjwa na wagonjwa wachache ambao wanahitaji kuonwa na madaktari pia. Hawa ni wale wagonjwa hot casualty, stroke, CA, wazee wenye degenerative disorders, cosmetic surgery, dental issues. kinachotokea kule ni kwamba vijana wa kule hawapendi kabisa kusoma medicine kwasababu mbalimbali zikiwemo za urefu wa kozi, ukosefu wa ajira, ukosefu wa cadavers, wagonjwa wote kuwa na Bima Za Afya, makampuni ya Bima kule hayapendi wagonjwa wao waguswe na wanafunzi kujifunzia na low pay.

Hali hii inawafanya marekani wa import watumishi wa Afya kutoka abroad ku meet the demand.

Kumbuka kule kama ukiugua tropical diseases unaweza kupoteza uhai mana madaktari N hospitals za kutibu magonjwa kama malaria, typhoid, ni chache sana sawa na hakuna.
 
Wewe jamaa kiazi kweli....hahahaa

Unasema vijana wa kimarekani wamepunguza kusoma medicine. Marekani ya wapi.....ya kichwani mwako.....unapata wapi ujasiri wa kuongea pumba katika mambo usiyoyajua hata kidogo..

Haya angalia graphs hapo chini ya med school enrolment uniambie lini ilipungua....soma na articles hapo chini uondoe ujinga.




Med school applications spike

Enrollment Up at U.S. Medical Schools

U.S. medical school enrollment rises 30%
 
KAKA huu ni mwaka 2022 hizo takwimu zako ni outdated, lakini kaka wengi wanaosoma hizi kozi ni watoto wa wahamiaji na waliopata scholarships za kusoma kutoka mataifa mengine. Ukiwa mule darasani utawakuta wahindi, Korea, wachina, wasomali, wa Kenya wengi, wanYarwanda, na watu wa Africa magharibi wengi. Sio wazawa, na hata ukifika hospital utakutana na wahindi wengi madokta, weusi, makaburu, na sio wa marekani wenyewe.

Kwanza ona idadi ya applicants ni 18,000 tu kwenye nchi yenye population ya zaidi watu 300,000,000, hushangai?
 

Nikija na data za 2021 utakubali au utaendelea kubisha......nikikuletea data kuwa ni wamarekani wazawa tena weupe ndio wanaongoza kwenye hizo enrollment utaendelea kubisha......mimi naongea na data wewe unaongea pumba kutoka kichwani kwako....lete data hapa tuone.....Na hizo data nilizokupa ni za mpaka 2020
 
Wewe unajisomea ili unijibu mimi nimeishi na kupata elimu yangu huko. Kwa yoyote vile wazawa ni watakuwa wengi kuwazidi wageni hasa kwenye vyuo vikuu vyenye majina makubwa. Lakini kama wazawa wangekuwa wengi wanaosoma masomo Ya Afya ulaya N marekani wasinge import madaktari Na manesi wengi sana kutoka nchi nyingine, Siwangetoa ajira kwa vijana wao? sasa hapo kwenye kui mport hapo, ndipo manesi wengi wanapohitajika zaidi kuliko madaktari. Hata kule marekani kwenye we manesi ni wengi vyuoni kuliko madakatari kinyume Na huku kwetu ambako vyuo vimefurika madaktari kuliko wanafunzi wa uuguzi. Tabu Inaanzia hapo.

Mbaya zaidi kule ULAYA N marekani manesi wanaprescribe baadhi ya dawa na vipimo, hapo ndio madaktari wanakabwa punzi kabisaaa. Hawataki upuuzi wa mtu anaeajiriwa eti kwa kuandika prescriptions to lakini hawezi kuweka cannula, catheters, kuchoma sindano, hawezi chochote zaidi ya kuandika dawa na ku escultasion, percussion and clerkship
 

Hahahaha....mimi nimefanya residency marekani ndio maana najua unaandika upumbavu uwadanganye wengine......fuatilia nyuzi za miaka ya hiyo wakati JF haina wajinga kama wewe sisi tulianzisha movement ya kufanya mitihani ya usmle na kina njiwa sasa tunakula maisha.

Kila nikija na data unahamisha magori na kujikanyaga zaidi......si ulisema wazawa hawasomi medicine? Sasa mbona unavailable kauli?

Unafikiri kila mtu JF anaishi kijijini kwenu sitimbi ?

Unasema nurse anaweza prescribe baadhi ya dawa.....mbona husemi marekani hata pharmacist na clinical psychologists wanaweza pia.....na wao wanafanya cannulation.??...

Dogo....sina muda wa kufatilia pumba zako tena.....endelea kuandika ujinga....
 
Hata ujizunguushe vipi udaktari hauna ajira siku hizi, sio deal kama ilivyo kuwaga, this is the take home message to you and society. Kama unabisha tangaza nafasi 5 za udaktari kwenye hospital yenu uone kivumbi cha applicants. Countless number, naomba mungu akuweke Hai for another 10 years from now. Hushangai entry qualifications za MD ni DDD tu siku hizi? Hopeless.
 
Hahaha.....hata siku moja mihangaiko ya daktari haitokuja kufanana na nesi nakwambia...utakufa na roho yako mbaya na hotokuja kuona hilo.....na nani kakuambia lazima kufanya kazi Tanzania......nenda tu hapo Botswana na Namibia uone vijana wa kitanzania wanavyopeta mawodini
 
Acha ubishi..jamaa ana ongea facts..kimsingi wengi wanaosoma medicine ni wakuja sio natives..natives wao wako bize na masomo ya bussiness,law and technology.

Point nyingine ya msingi huko hawatibu poverty disease ambazo huku manahangaika nazo kila uchwao kumezesha watu metro mpaka madawa yanakua kama chakula na shida nyingine za AMR inazidi kuongezeka.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe ndio fuata upepo wenyewe..tena usidandie treni kwa mbele hii sio level yako.....mimi naishi na kufanya nao kazi na nimekuwekea data nyie mnaongea maneno makavu.....lete ushaidi hapa
 

Nesi kazi yake nini mzehe?
 
Usipende kudandia usiyoyaweza.....non us citizens wanaoenroll kwenye Us med schools hawafiki hata asilimia 2.....US citizens hasa whites ndio wana dominate


 

Kwanza hizo Namba alizotoa hapo ni uongo et muhas inatoa 300 [emoji849][emoji849]
 
Duh.....kumbe uongo ndio jadi yake.....kama ningejua hata nisingepoteza muda wangu kujibizana nae.....
 
Usipende kudandia usiyoyaweza.....non us citizens wanaoenroll kwenye Us med schools hawafiki hata asilimia 2.....US citizens hasa whites ndio wana dominate


View attachment 2067546
Tabu yako iko palepale, haijulikani hizi takwimu ni za mwaka gani wala chanzo chake. Hata hivyo, katika taifa kubwa kama Marekani lenye population ya zaodi ya watu 300,000,000 unategemea wanafunzi wa afya wote wawe 10,000 tu? Ona hata kwa takwimu zako sijui za lini Asians tu ni karibu nusu ya wanafunzi wote na wasure wenyewe ni nusu nusu nusu tu ya wanafunzi wote. Hii huoni kuwa ni abnormality ya kushangaza? Kwani marekani kuna wanafunzi wangapi, na wanafunzi wanaosomea medicine ni % gani ya wanafunzi wote halafu ufanye statistical tests kujua adequacy yake kwenye population ya marekani.

Bottom line , 1. vijana wa Marekani na Uingereza hapendi kusoma medicine, 2. Ajira za MD ni chache sana, 3. Marekani wanaagiza watumishi wengi wa afya kwenda kujaza upungufu unaosababishwa na vijana wao kukataa kisoma masomo hayo. 5. Kati ya hao wanaoagizwa kwenda kufanya Kazi huko manesi ni wengi Saudi kuliko madaktari, 6. Kutokana na maendeleo ya wanajamii na IT Kazi za physical madaktari zimepungua, kila MTU anajua cha kufanya asiugue na kama akiugua anajua afanye nini.

Unaonekana wewe unaongelea marekani ya zamani sana na hata takwimu zako zinaonyesha hivyo.

Hebu nambie katika nchi yetu wanafunzi wangapi wa medical ni wageni? Je, idadi ya wanafunzi wa CO na MD Tanzania ni wangapi? na % ngapi ya wanafunzi wote Tanzania then compare na marekani na population ya tz na us. Utaona kuwa watanzania bado wanashobokea udaktari kuliko US, wako gizani, prestige, ushamba, kufa na tai shingoni. Wanaofaodi udaktari hapa tz ni wale waliomaliza miaka ya nyuma wakati darasa lilikuwa na wanafunzi wasiozidi 70, baada ya hapo ni majanga tu.
 
Hawezi akakuelewa yuko ligidi kama jiwe..kakaririshwa maisha..hataki kuona reality..watu kama hao nikuwaacha katika ujinga wao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nimesoma maandiko yako ya nyuma.....nimeamua kukupuuza
 
Kaka kuanzia sasa tambua kuwa manesi wamegawanyika kama ifuatavyo. Kwa kuafuata elimu wako manesi wenye certificates (Cheti), wenye Diploma, wenye bachelors, wenye masters Na wenye PhD. Kwa kufuata maeneo Kazi wako manesi ambao wako wodini, kuna walioko kwenye clinics, kwenye kufundisha vyuo, kwenye kufanya tafiti, viwandani, migodini, Na kwenye jamii.

Unapotaka kulinganisha vipato basi linganisha wenye elimu zinazofanana. Maana hata madaktari (matabibu) kuna wenye certificates tu, wenye Diploma, wenye degree, wenye masters Na wenye PhD.

Ukiona daktari wenye degree moja amemzidi sana nesi mwenye degree basi huyo dkt ana kitu cha ziada anachokifanya kama vile biashara, rushwa, wizi wa Mali au muda wa mwajiri wake au familia yake au anatoa mimba kiharamu. Mshahara wake haumzidi nesi kwa zaidi ya sh. 300,000, Na hiyo ziada inatokana tu Na idadi ya miaka ya kusoma kozi ya MD Na BScN. Lakini wale wenye diploma wanafanana wote mishahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…