Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kusoma MD ni useless & turn off. And that's why most of the Doctors are always lamenting and yawning on twitter for being jobless. Some of them lamenting about salaries or what they earn.Kaka kuanzia sasa tambua kuwa manesi wamegawanyika kama ifuatavyo. Kwa kuafuata elimu wako manesi wenye certificates (Cheti), wenye Diploma, wenye bachelors, wenye masters Na wenye PhD. Kwa kufuata maeneo Kazi wako manesi ambao wako wodini, kuna walioko kwenye clinics, kwenye kufundisha vyuo, kwenye kufanya tafiti, viwandani, migodini, Na kwenye jamii.
Unapotaka kulinganisha vipato basi linganisha wenye elimu zinazofanana. Maana hata madaktari (matabibu) kuna wenye certificates tu, wenye Diploma, wenye degree, wenye masters Na wenye PhD.
Ukiona daktari wenye degree moja amemzidi sana nesi mwenye degree basi huyo dkt ana kitu cha ziada anachokifanya kama vile biashara, rushwa, wizi wa Mali au muda wa mwajiri wake au familia yake au anatoa mimba kiharamu. Mshahara wake haumzidi nesi kwa zaidi ya sh. 300,000, Na hiyo ziada inatokana tu Na idadi ya miaka ya kusoma kozi ya MD Na BScN. Lakini wale wenye diploma wanafanana wote mishahara.
MD is useless for sure if you can't employ yourself.Kaka ni masomo yasiyokuwa Na tija, hata Janjaro anatanua kuliko daktari Na muuguzi.
Ajira yangu ya kwanza baada ya kumaliza intern ilikuwa Gaborone, kaka ilikuwa hivyo kwakuwa serikali yao ilikuja kuomba watumishi kwwtu, lakini baada ya vikana wao kuhitimu kwa wingi wakaanza kuwalipa wageni mishahara ya kawaida badala ya ile ya expert, siku hizi nako hakuna ajira tena.Hahaha.....hata siku moja mihangaiko ya daktari haitokuja kufanana na nesi nakwambia...utakufa na roho yako mbaya na hotokuja kuona hilo.....na nani kakuambia lazima kufanya kazi Tanzania......nenda tu hapo Botswana na Namibia uone vijana wa kitanzania wanavyopeta mawodini
Zamani ilikuwa ukimaliza MD TU utapewa ajira hapohapo, nyumba nzuri, hela ya kujikimu na mkopo wa kununua gari, na wanawake njenje. Sio siku bhanaa wewe, MD wa Leo ni jobless, wanaendesha bodaboda, wanakaanga chips, wanadanga, Wana bet na walevi, no respect any more. Mama mkanye mwanao, asome MD yule TU mwenye passion ya kwelikweli yaMD is useless for sure if you can't employ yourself.
Zamani ilikuwa ukimaliza MD TU utapewa ajira hapohapo, nyumba nzuri, hela ya kujikimu na mkopo wa kununua gari, na wanawake njenje. Sio siku bhanaa wewe, MD wa Leo ni jobless, wanaendesha bodaboda, wanakaanga chips, wanadanga, Wana bet na walevi, no respect any more. Mama mkanye mwanao, asome MD yule TU mwenye passion ya kwelikweli ya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zamani ilikuwa ukimaliza MD TU utapewa ajira hapohapo, nyumba nzuri, hela ya kujikimu na mkopo wa kununua gari, na wanawake njenje. Sio siku bhanaa wewe, MD wa Leo ni jobless, wanaendesha bodaboda, wanakaanga chips, wanadanga, Wana bet na walevi, no respect any more. Mama mkanye mwanao, asome MD yule TU mwenye passion ya kwelikweli ya
Raha gani sasa wakati upo choka mbaya. Kuna dogo namfahamu awesome MD alikuwa middleman wangu wa kunitafutia wateja. Nilikuwa nikimpata Tshs 15,000/= anafurahi sana.hahahhahaha dah nimecheka sana
Lakini kuitwa Doctor kuna raha yake wazee mjue [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Zamani ilikuwa ukimaliza MD TU utapewa ajira hapohapo, nyumba nzuri, hela ya kujikimu na mkopo wa kununua gari, na wanawake njenje. Sio siku bhanaa wewe, MD wa Leo ni jobless, wanaendesha bodaboda, wanakaanga chips, wanadanga, Wana bet na walevi, no respect any more. Mama mkanye mwanao, asome MD yule TU mwenye passion ya kwelikweli ya
Raha gani sasa wakati upo choka mbaya. Kuna dogo namfahamu awesome MD alikuwa middleman wangu wa kunitafutia wateja. Nilikuwa nikimpata Tshs 15,000/= anafurahi sana.
Sasa hio laki tatu ni ndogo?,[emoji23]Kaka kuanzia sasa tambua kuwa manesi wamegawanyika kama ifuatavyo. Kwa kuafuata elimu wako manesi wenye certificates (Cheti), wenye Diploma, wenye bachelors, wenye masters Na wenye PhD. Kwa kufuata maeneo Kazi wako manesi ambao wako wodini, kuna walioko kwenye clinics, kwenye kufundisha vyuo, kwenye kufanya tafiti, viwandani, migodini, Na kwenye jamii.
Unapotaka kulinganisha vipato basi linganisha wenye elimu zinazofanana. Maana hata madaktari (matabibu) kuna wenye certificates tu, wenye Diploma, wenye degree, wenye masters Na wenye PhD.
Ukiona daktari wenye degree moja amemzidi sana nesi mwenye degree basi huyo dkt ana kitu cha ziada anachokifanya kama vile biashara, rushwa, wizi wa Mali au muda wa mwajiri wake au familia yake au anatoa mimba kiharamu. Mshahara wake haumzidi nesi kwa zaidi ya sh. 300,000, Na hiyo ziada inatokana tu Na idadi ya miaka ya kusoma kozi ya MD Na BScN. Lakini wale wenye diploma wanafanana wote mishahara.
Population haiongezeki?[emoji3],kua kusoma nesi ni kazi sana kuliko kusoma MD?......sasa kwa nini vijana wanachagua kusoma MD?,kua hawajitambui?[emoji16][emoji16]Vijana nasisitiza tena na tena, kama wewe unatoka familia maskini ambayo unategemewa upate ajira ili usaidie familia yako course yenye uhakika wa angalau kupata ajira ndani na nje ya Nchi ni Uuguzi. Kama unataka kujiajili mwenye we pharmacy ni ya kwanza na nursing inafuata. Habari za MD ilikuwa zamani hizoooo mama yako hajazaliwa. Hebu fikiria TU muhimbili kila mwaka inazalisha madaktari wapy 300, KCMC 300, Bugando 310, Kairuki 270, UDS 350, Kampala International University 360, UDom 500, na St. John's 400. Hebu nambie hao ni kwa mwaka mmoja TU na kila siku juhudi kwenye vyuo zinafanyika ili kuongeza majengo na walimu ili kuongeza udahili wa wanafunzi hao, na TCU imeshusha ufaulu wa kujiunga na kozi ya MD hadi DDD, Yani D physics, D kemia vna D biology. Ufaulu wa kujiunga na kozi ya nursing chuo kikuu uko juu kuliko ule wa MD, bila kuwa na C ya kemia huwezi kujiunga na Uuguzi. Jamani msidanganywe na historia, fuata trend
Yeah. As we speak, he is still jobless.Alikua ni jobless au...
Yeah. As we speak, he is still jobless.
........MD ndio main gateway ya specialists na super specialists zote,.....njia pekee ya kupoteza soko ni watu wasiumweHapa nakubaliana na wewe. Ni kweli MD inakwenda kupoteza soko kwenye ajira.
Sasa hio laki tatu ni ndogo?,[emoji23]
........MD ndio main gateway ya specialists na super specialists zote,.....njia pekee ya kupoteza soko ni watu wasiumwe
Tshs 300k kubwa sana. Kuna MD kibao wanalipwa 150k brother.Mzee laki3 umpe MD duh matusi hayo ni bora aendelee kuwa jobless tu aisee kuliko hio hela
Wewe unaongelea manesi wenye elimu gani?? Na kwa hapa bongo manesi waliojaa wana elimu gani na madokta wanaoongelewa na watu hapa unadhani ni madokta wenye elimu gani??Kaka kuanzia sasa tambua kuwa manesi wamegawanyika kama ifuatavyo. Kwa kuafuata elimu wako manesi wenye certificates (Cheti), wenye Diploma, wenye bachelors, wenye masters Na wenye PhD. Kwa kufuata maeneo Kazi wako manesi ambao wako wodini, kuna walioko kwenye clinics, kwenye kufundisha vyuo, kwenye kufanya tafiti, viwandani, migodini, Na kwenye jamii.
Unapotaka kulinganisha vipato basi linganisha wenye elimu zinazofanana. Maana hata madaktari (matabibu) kuna wenye certificates tu, wenye Diploma, wenye degree, wenye masters Na wenye PhD.
Ukiona daktari wenye degree moja amemzidi sana nesi mwenye degree basi huyo dkt ana kitu cha ziada anachokifanya kama vile biashara, rushwa, wizi wa Mali au muda wa mwajiri wake au familia yake au anatoa mimba kiharamu. Mshahara wake haumzidi nesi kwa zaidi ya sh. 300,000, Na hiyo ziada inatokana tu Na idadi ya miaka ya kusoma kozi ya MD Na BScN. Lakini wale wenye diploma wanafanana wote mishahara.
Tshs 300k kubwa sana. Kuna MD kibao wanalipwa 150k brother.