Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Maswala ya Afya ni muhimu kwetu kama wanadamu ila siwezi shauri mtu wa karibu nami ayasome
Kaka ni masomo yasiyokuwa Na tija, hata Janjaro anatanua kuliko daktari Na muuguzi.
 
Kumbe kusoma MD ni useless & turn off. And that's why most of the Doctors are always lamenting and yawning on twitter for being jobless. Some of them lamenting about salaries or what they earn.
 
Ajira yangu ya kwanza baada ya kumaliza intern ilikuwa Gaborone, kaka ilikuwa hivyo kwakuwa serikali yao ilikuja kuomba watumishi kwwtu, lakini baada ya vikana wao kuhitimu kwa wingi wakaanza kuwalipa wageni mishahara ya kawaida badala ya ile ya expert, siku hizi nako hakuna ajira tena.
 
MD is useless for sure if you can't employ yourself.
Zamani ilikuwa ukimaliza MD TU utapewa ajira hapohapo, nyumba nzuri, hela ya kujikimu na mkopo wa kununua gari, na wanawake njenje. Sio siku bhanaa wewe, MD wa Leo ni jobless, wanaendesha bodaboda, wanakaanga chips, wanadanga, Wana bet na walevi, no respect any more. Mama mkanye mwanao, asome MD yule TU mwenye passion ya kwelikweli ya
 

hahahhahaha dah nimecheka sana

Lakini kuitwa Doctor kuna raha yake wazee mjue [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahhahaha dah nimecheka sana

Lakini kuitwa Doctor kuna raha yake wazee mjue [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Raha gani sasa wakati upo choka mbaya. Kuna dogo namfahamu awesome MD alikuwa middleman wangu wa kunitafutia wateja. Nilikuwa nikimpata Tshs 15,000/= anafurahi sana.
 

Ila ujue wengi wanasoma udaktari kwa kufikir kwamba kuna hela yan ukiwa Doctor tearii ni tajiri...

Sasa wakishaingia na kumaliza shule Ndio wanapoona kumbe ni kazi ya wito tuu ambayo maslah yao ni kawaida mnoo ndipo wanapojiingiza kwenye mihangaiko mengine kama biashara etc na kuachana na taaluma yao

wengine wanasoma udaktar kwa ajili ya status tuu kuitwa docta

Ila nadhani angalau ukiwa na level kuanzia specialist pengine unaweza ukapiga pesa kupitia udaktari wako
 
Raha gani sasa wakati upo choka mbaya. Kuna dogo namfahamu awesome MD alikuwa middleman wangu wa kunitafutia wateja. Nilikuwa nikimpata Tshs 15,000/= anafurahi sana.

Alikua ni jobless au...
 
Sasa hio laki tatu ni ndogo?,[emoji23]
 
Population haiongezeki?[emoji3],kua kusoma nesi ni kazi sana kuliko kusoma MD?......sasa kwa nini vijana wanachagua kusoma MD?,kua hawajitambui?[emoji16][emoji16]
 
Hapa nakubaliana na wewe. Ni kweli MD inakwenda kupoteza soko kwenye ajira.
........MD ndio main gateway ya specialists na super specialists zote,.....njia pekee ya kupoteza soko ni watu wasiumwe
 
Wewe unaongelea manesi wenye elimu gani?? Na kwa hapa bongo manesi waliojaa wana elimu gani na madokta wanaoongelewa na watu hapa unadhani ni madokta wenye elimu gani??

Ndgu kwa jinsi mfumo wa elimu ya bongo ulivyo sio rahisi kukuta manesi wenye elimu kubwa hivyo, na ndio maana unabishana na wadau hapa kwasababu manesi wengi elimu zao ni diploma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…