Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

kama mtoto ana ndoto za kuwa daktari msapport tuu,mambo ya ajira yatajulikana mbele kwa mbele
 
Kwa uzoefu wangu, ni nadra sana nesi mwenye digrii kuajiliwa hasa serikalini, case study fanya ajira tatu zilizopita nyuma. Lakin Daktari mweye digrii ni rahis sana kuajiriwa serikalini kuliko Matabibu.
 
kama mtoto ana ndoto za kuwa daktari msapport tuu,mambo ya ajira yatajulikana mbele kwa mbele
Hiyo ni kweli kabisa, mtoto lazima awe na ndoto lakini lazima awe na uwezo kichwani pia. Sio mtoto anasema ana ndoto lakini ana supplement Karibu masomo yote kila semester, hiyo sio ndoto ni kufosi
 
Hiyo ni kweli kabisa, mtoto lazima awe na ndoto lakini lazima awe na uwezo kichwani pia. Sio mtoto anasema ana ndoto lakini ana supplement Karibu masomo yote kila semester, hiyo sio ndoto ni kufosi
Watu wenye supp na wanazichomoa hao ndio wanajua vitu.
 
Hiyo ni kweli kabisa, mtoto lazima awe na ndoto lakini lazima awe na uwezo kichwani pia. Sio mtoto anasema ana ndoto lakini ana supplement Karibu masomo yote kila semester, hiyo sio ndoto ni kufosi

supp mbona ni kawaida chuoni mkuu...
 
Na lifestyle diseases nazo vipi ?
 
Naimani hawa wanawazungumzia ma-clinical Officers
Hivi kuna watu bado wanasoma hii clinical officer?!!!!!!

Maana vyuo vyake ni vingi kama shule za kata, nadhani idadi ya clinical officers ni sawa au zaidi ya idadi ya wagonjwa (joking).
 
Hivi kuna watu bado wanasoma hii clinical officer?!!!!!!

Maana vyuo vyake ni vingi kama shule za kata, nadhani idadi ya clinical officers ni sawa au zaidi ya idadi ya wagonjwa (joking).

karibia kozi zote skuhiz graduates ni wengi

sema hio clinical Officer imeanza kua na magraduates wengi miaka hii ndio maana watu wanashangaa

NB:HAKUNA KWENYE UNAFUU SKUHIZI NI CONNECTION NA KUOMBA MUNGU TUU KWENYE ISSUE ZA KAZI
 
Tghc c ni 910,000 tghs e-1480k

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Hutaki acha..wenzako watauchukua...naona huzijui hospital private za bongo wewe..ndio mana nakuuliza upo bongo au wewe ni diaspora.

#MaendeleoHayanaChama
Mwambie aubadilishe mshahara wake kwenye USD aone alivyokosea kusoma kozi ya miaka 6 kwa first degree TU, na deni kubwa mgongoni. Crazy.
 
Kuna watu wanasoma course za kawaida na wanavuta mpunga WA maana kabisa tofauti na madr
Ukdt ni changamoto mkuu, ahueni yake itapatikana kwa kujilipua kufanyakazi za ziada wakati ule wa familia. Yaani anahe
Hata hiyo laki 5 anashukuru mungu kwa kusaidiwa kuipata na jamAa yake.
 
Wengi wanajiongelea tu ooh MD 500 wamegraduate chuo kimoja!
Tukimuuliza takwimu ametoa wapi sidhani kama atakuwa na majibu kweli maana hajui.
Mzee hebu wewe toa takwimu zilizo sahihi kwa Wanajamvi. Tupe idadi kamili ya MD wote waliomaliza vyuo vyote Tanzania mwaka 2021.
 
Mzee hebu wewe toa takwimu zilizo sahihi kwa Wanajamvi. Tupe idadi kamili ya MD wote waliomaliza vyuo vyote Tanzania mwaka 2021.
Aliyeweka takwimu atuambie amezitoa wapi za hivyo vyuo viwili.
 
Aliyeweka takwimu atuambie amezitoa wapi za hivyo vyuo viwili.
Shida sio usahihi Bali maudhui ya taarifa kuhusu trend ya udaktari nchini na duniani. Hushangai Leo ukitaka madaktari kutoka Cuba, urusi, misri, au Kenya watakuja kibao tena fasta. Ndio maana siku hizi hakuna migomo ya madaktari inayofanikiwa kuwaletea tija, labda migomo hiyo wawemo na manesi.

Maana kuna kundi la MA MD linaranda huko mitaani. Kuna mwaka madaktari Kenya waligoma na kutishia kuleta madaktari wa Tanzania kufanyakazi huko, weeee vijana wetu walifurumuka kibao walifuta mavumbi vyeti vyao kuomba nafasi hizo lakini wakapigwa mkwara kukanyaga kenya kama vile walivyopigwa mkwara Botswana
 
Na lifestyle diseases nazo vipi ?
Lifestyle diseases ni nyingi marekani na ulaya, lakini elimu ni kubwa pia kwa watu, wengi wao wanajihudumia wenyewe kama vile kucheki blood glucose, vital signs, body weights, na medication. Hapo kwenye lifestyle and degerative disorders complications ndipo linapozuka swala za manesi wengi zaidi kuhitajika kuliko MDs.
 
karibia kozi zote skuhiz graduates ni wengi

sema hio clinical Officer imeanza kua na magraduates wengi miaka hii ndio maana watu wanashangaa

NB:HAKUNA KWENYE UNAFUU SKUHIZI NI CONNECTION NA KUOMBA MUNGU TUU KWENYE ISSUE ZA KAZI
Kwanini mzazi akubali mtoto apoteze miaka sita na fedha na deni kubwa kwa mtoto kusoma MD Badala ya kutumia rasilimali muda, pesa na vitu kama mtaji kwa kijana, au kusoma kitu kingine ili kupunguza msongamano kwenye MD?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…