MrGeneous
JF-Expert Member
- Oct 3, 2020
- 562
- 285
Vijana wetu tu wafundishe somo la namna ya kufikiria ( critical thinking) ili wajifunze kutokana na makosa ya wengine Badala ya makosa yao wenyewe. Wakati ule MD inaitwa rare professional wanafunzi walikuwa wakisomeshwa bure kabisa 100%, Leo hii watoto wetu wanadungwa deni kubwa la miaka 5 na loans board na wengine hawapati kabisaaa. Hebu fikiria kijana Ana deni la mikopo ya miaka 5 atamaliza kulilipa lini hadi aanze kutengeneza faida? Hapo hapo unaambiwa ajira hamna.
kama mtoto ana ndoto za kuwa daktari msapport tuu,mambo ya ajira yatajulikana mbele kwa mbele