uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Mkuu toka zamani wapo wanaume manesi na tunawajua.Historically na jamii inavyoichukulia lakini kiuhalisia hali ni tofauti siku hizi kwa sababu nyingi lakini kwa leo nakupa hii kwa mfano halisi: Nenda Bugando, Muhimbili, KCMC, UDOM, St John's university kaangalie wanao soma bachelor of Nursing utakuta Me ni wengi kuliko wanawake na kwa vyuo vya Diploma vivyo hivyo. Hii ni kwa sababu entry qualifications zimebana tofauti na zamani ambapo hata ambaye hakusoma PCB alisoma nursing. Kwa siku hizi kama huna hayo masomo ya sayansi kasomee fani zingine na ndio maana dada zangu wanazidi kupungua huku kwenye uuguzi kwa sababu kama tunavyojua ufaulu wao kwa masomo ya sayansi ni mdogo ukilinganisha na watoto wa kiume
ila sema tu jamii ikimwona mwanaume hospitali inamdhania ni daktari
labda wale tu wanaoishughulisha akili yao ndo huweza kuwatofautisha.