Mzinza wa town
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 347
- 369
Kuweka cannula ni kazi ya daktariUkiangalia kwa upeo huo huwezi make conclusion kwa sababu hujui mishe mishe anazofanya nje ya kazi yake...., kinachozungumzwa hapa na mleta mada ni kuwa nursing iko juu kwa sasa kuliko udaktari [emoji2] [emoji2] [emoji2] hiki kitu hakiji kutokea hata siku moja,,, kwanza nurse huwa wanawaona ma Dr kama viongozi wao na huwa wanapokea order tuu ni mwendo wa kuambiwa weka canula hapa speed to maximum and you follow,,Na huo ndo utaratibu