Humu watu wanajadili jinsi ya kuajiri au jinsi ya kutumia masaa ya watu waoga. Yaani wewe mfano kwa sababu huna kazi na masaa yako basi una mbinasifishia mtu mwenye kazi nayo, wewe atakakuwa anakulipa kwa kutumia masaa yako.
Akisha yatumia baada ya miaka kadhaa akisha ona umechoka na masaa yako hayana faida kunwa ndo pale mkataba itasitishwa na utaenda kijijini kuanza kufuga Ng'ombe.
na si jinsi ya kuajiriwa. Hii ulipaswa kuipeleka jukwaa la Elimu.
Mod wasaidie kupeleka huko
Sent using
Jamii Forums mobile app