Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Eti it's impossible for a nurse to diagnose a disease!! Hahahahaha. Yaani nifanye assessment nishindwe kudiagnose! Nilienda shule kusoma au kutafuta wachumba?
Labda magonjwa ya minyoo na malaria ndio mnatibu...everything about systemic pathology mko empty maana hamjasoma hii koz....muwe na heshima bhn...yaan Dr mlinganishe na dentist ila sio kozi za like kama nursing..bullshit
 
Umesema kweli mkuu,hiyo ya manesi na DDS kula mkwanja mrefu ni katika nchi zilizoendelea ,sio Africa.
 
Sijasema MTU akiwa Dr aabudiwe ,na wala mm sisemi unesi ni kaz isiyofaa..nachompinga mleta mada n kusema unesi ni superior over Md.. Hapo tu...n bora aseme tu kila koz INA umuhimu wake ila sio kusema et nesi n bora kulko doctor..hii sikubali had kesho yaan
 

Kazi kwelkweli.....nurse hajui congenital anomalies za system yoyote ile,nurse hajui inflammatory condition za system yoyote ile,nurse hajui tumor and malignant conditions za system yoyote ile...then u say a nurse is equal to a doctor??! Au mnadanganywa na zile basics za anatomy,pathology,biochemistry, general pathology,parasitology na microbiology tunazosoma pamoja???

Nyie mseme tu kuwa kila koz n muhimu ila msiseme nesi is superior over a doctor, hili napinga miaka buku.
 
Meaning MD anasoma Pharmacology kama anayosoma BPharm? Kuna kitu hakiko sawa kwenye hicho chuo, either kuna anaekuwa overdosed ama kuna anaekua shallowed
Md anasima clinical pharmacology, different kabisa na ile ya pharmacy....cjui hawa wamesomea vyuo gan??
 
Hapa tunazungumzia nesi wa degree na MD ...compare and contrast them with facts
 
We jamaa umeongea point sana....big up
 
Clinical pharmacology ni the same kwa wote lakini pharmacology yenu wapharmacia na yale ma pharmacognosy mnasoma kivyenu ambayo sisi hatusomi. Ni BMLS tu ambao hawasomi clinical pharmacology
Clinical pharmacology wanayosoma MD pharmacy wanasoma kama basic pharmacology..

Bmls baadhi ya vyuo wanasoma pharmacology..
 
Hakiya nani kijana wewe una the wrong information about nursing.

A nurse anaijua embryology yote, normal human development, abnormal humana development, inflammation process na kazi za prostaglandin kwenye mchakato huo, anaifahamu normal psychiatry and forensic psychiatry, anafahamu metabolic na degenerative diseases/disorders zote, anafahamu blood disorders (sickle, hemophilic, Glucose-6-phosphate dehydrogenase (G6PD) deficiency, leukemia), anajua kutofautisha kati ya benign na malignant, anajua BMI, anajua Obsterics yote, anafahamu drugs interactions zote, tinea zote, taenia zote, protozoa diseases zote. zooote hizi na mmedical and nursing mx zake. Hapo sijaongelea couseling, sociology, philosophy, leadership 'n' management, ethics, therapeutic diets, nk.

Aliyekuambia kuhusu nursing amekuingiza chaka, wewe endelea kuzunguuka na manati yako shingoni kwa wahindi kutwa kucha wenzako wanatembea na mkeo wewe ukiganga njaa kwenye viosks.
 
[emoji23]
anaemind kuitwa nesi ni chizi tu kama wewe. Nesi zama ilikuwa na watu wasiokuwa na elimu, hiyo ndiyo image mliyokuwa nayo hadi sasa. mtanyooka tu na vimanati vyevu shingoni, it is a matter of time. mnasumbuliwa na lack of exposure.

Hushangai kuwaona wahitimu wa udakatari hawana ajira mitaani siku hizi? na bado mtakoma, vyuo vinaendelea kutema madaktari ronyaronya kila mwaka, hadi mtalilia kwenda kufanyakazi vijijini. Someni alama za nyakati, udaktari zamani bwana sio siku hizi ambazo wagonjwa wengi wanagoogle Dx na Rx zao.
 
Clinical pharmacology ni the same kwa wote lakini pharmacology yenu wapharmacia na yale ma pharmacognosy mnasoma kivyenu ambayo sisi hatusomi
Mleta mada umemnukuu vibaya yeye amesema nursing ina fursa nyingi kuliko MD
 
Your wrong unaposema nurse hayajui hayo na pengine chuo ulichosoma kina MD students peke yake kwa hiyo habari za nursing unazisikia vijiweni
 
Unajua Bipolar Disorder Plus Schizophrenia Zinakusumbua Sana,

Kivipi Unaniqoute Kwenye Emoji Na Hayo
Maneno Yote Ya Attention Seeker?

Ebu Pita Kule Nurse James Wewe!

People Who Acts Like Rats I Treat Them Like Honey badger.
 
Tatzo unahasira kisa umesomea unesi....komaa tu na unesi wako ila usituaminishe upuuz wako hapa....siku nikiamini nesi ni sawa na daktari in status bhc naombeni mniue tu jmn.....heshima iwepo Dada yangu
Kwa taarifa yako degree yangu ya kwanza haikuwa bachelor of Nursing but nimeenda mbali zaidi ya bachelor of Nursing na bado naendelea kusoma. Nilipokuwa first year ilkiwa ruksa kuhama toka Bpharm to MD, BMLS to MD, BSN to Bpharm or MD na wengi walifanya hivyo lakini kwa upande wangu sikutaka ingawa ningetaka isingeshindikana. Kwa hiyo daktari usidhani kama ningetaka kusoma hiyo Medicine nisingeweza na nina hakika ningekuwa daktari bora kabisa
 
Kwasasa wala haiko hivyo mindset za watu zimeshabadilika ni kama zamani mwalimu alikuwa ni mtu aliyefeli hata nyumbani wazazi husema usikose hata ualimu basi, lakin kumbe kuna watu wana one zao za advance wakapiga education nowdays inaeleweka kuwa sio kila mwalimu amefeli japo ndichi bado lakin
 
Unachoongea inaweza kuwa kweli...market ya udaktari inaweza ikawa ni ndogo kulko ya unesi kwa sababu kuajili docta is very expensive kulko nesi...kumbuka vitu vya bei poa vina walaji wengi sana
Sio bei hata kazi wanazofanya ni tofauti kaz ambayo inahitaji doctor mmoja itahitaji nurses tatu na zaidi,na kuna ishu nyingi ambazo doctor hahitajiki nurse analimaliza wakati zinazohitaji dokta lazima nurse awe karibu mara nyingi
 

Unachokisema nimekishuhudia leo pale Benjamini Mkapa Hospital UDOM wale Madaktari nitawachana , Ngoja mgonjwa wangu atoke, Nurse nawaheshimu saaana popote mlipo Nimegundua leo wao wanavingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…