Hakuna profession safi/bora kuliko ingine kwa mgonjwa. Nilichosema mimi ni kwamba uuguzi siku hizi unazo fursa nyingi sana kuliko udaktari. Muuguzi ni vigumu kukosa ajira kuliko DK.
Twende Marekani, UK, Australia, Botswana, Israel, ujerumani, NK mimi na wewe ukaone cha mtema kuni.
Ninachokusisitizia hata achana na title na historia kamata uhalisia na alama za nyakati. Manesi siku hizi wana prescribe, wanafanya ciserian section, wanafanya circumcisions, wanafanya herniorrhaphy, NK wewe umeng'ang'ania mapokeo