Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Nursing INA fursa nyingi zaidi. Kuna jamaa mmoja ana diploma tu ya NURSING ila maisha anayoishi MD hafuati
wako kwenye box, duniani kote trend inaonyesha kuwa MD wanazidi kukosa soko. Ngoja tuwape miaka 10 tu mbele watarudi kwenye uzi wangu huu na kuniita mtabiri na mtume.
 
Ukiangalia kwa upeo huo huwezi make conclusion kwa sababu hujui mishe mishe anazofanya nje ya kazi yake...., kinachozungumzwa hapa na mleta mada ni kuwa nursing iko juu kwa sasa kuliko udaktari [emoji2] [emoji2] [emoji2] hiki kitu hakiji kutokea hata siku moja,,, kwanza nurse huwa wanawaona ma Dr kama viongozi wao na huwa wanapokea order tuu ni mwendo wa kuambiwa weka canula hapa speed to maximum and you follow,,Na huo ndo utaratibu
Sijasema Nursing iko juu kuliko MD mkuu, nimesema inazo fursa nyingi kuliko MD.
 
Aliyetengeneza huu uzi naona kama vile hamjamuelewa vizuri...yeye amemaanisha kwamba nursing ina fursa nyingi za ajira kuliko udaktari which is true!... hata ukiangalia mahospitali wakitangaza nafasi za ajira wanakuwa na uhitaji wa Nurses wengi kuliko facualty zingine zote za afya including MD!...Wanaweza tangaza nafasi 200 kwa ajili ya Nurses na nafasi 5 kwa ajili ya Doctors!...Kuhusu title ni kweli Doctor ana title kubwa kuliko Nurse ila mwenye nafasi kubwa ya kupata ajira ni Nurse kuliko Doctor!!...Kwahyo hapa sasa ni ww mwenyewe kuchagua kati ya title au ajira!
exactly, well said. hawashangai Tz ina uhaba mkubwa sana wa madaktari (1:25,000) lakini maktari wako mtaani na wengine walitaka kupelekwa Kenya wakafanye kazi za waliogoma? kama hujui zilipo sehemu za siri za kuku subiri upepo uvume. Wazazi msitake kujifunza kwa kutumia makosa yenu bali tumieni yale ya wenzenu kule Ulaya, Marekani na kwingineko ambako MD sio deal anymore. Hospitali iko radhi kumtumia part-time MD kuliko kumuajiri wa kwake.
 
Nyie ndio mnakuwa masecretary wakat n wanaume...do a work which makes u even proud to introduce yourself as a gentleman.... Huku kwetu nchi maskin unesi na usecretary n kaz za kike hata utetee vp....ukimuita nesi tu mbele ya watu anakumaindi. Kijana acha kujidanganya izo fikra ni zako na wengine hapa tz ila nchi za wenzetu haipo kama unavyofikiria
 
Jitihada za kuboresha hali za maisha za watanzania zinaendenda sambamba na kupunguza umuhimu wa MD kwenye jamii. Watu wakizaa kwa mpango, wakala vizuri, wakavaa viatu, wakanywa maji safi, wakatumia choo, wakachanjwa, wakatii sheria za barabarani bila shuruti, wakalala kwenye net, na kupunguza utupaji ovyo wa takataka basi kiama cha madaktari (MD) kitawakuta live bila chenga, haha.

Sisemi hata kidogo kwamba Madaktari sio muhimu kwenye jamii, lakini ninachokisema fursa zao za ajira zinazidi kuminywa kila siku kutokana na ukuwaji wa maendeleo ya kijamii na teknolojia ya mawasiliano duniani. Iko siku daktari aliyeko Marekani atatibu wagonjwa walioko Tanzania, lakini Nurse aliyeko Marekani hataweza kumhudumia mgonjwa aliyeko Tanzania.
 
Kaka udaktari una ngazi kuanzia ngazi ya chini kabisa ya Assistant Clinical officer, Clinical Officer, Medical Officer, Masters na PhD. Hata uuguzi nao unaanzia Certificate, Diploma, Bachelor, Masters na PhD. Madaktari mara nyingi huwa mnakutana wodini na wauguzi wenye Certificate, Diploma au Health attendants. Hao pia wana elimu ndogo kiwango cha ACO na COs wenu ndio maana huoni makali yao na wanakusikiliza mwanzo mwisho hata ukiboronga. Lakini Nesi mwenye degree ana kiwango cha Anatomy, physiology, Biochemistry, Microbiology, Pharmacology, Parasitology, DS, Biostatistics, Epidemiology sawa na kile cha Daktari. Baada ya hapo anakuwa Obstetrics ya hali ya juu, surgery, medical na Pharmacology nyingine ya hali ya juu kuliko daktari. Unafundishwa leadership na management kubwa.

Fanyakazi na Muuguzi mzoefu mwenye degree au Masters ili uone atakavyokuendesha puta.

Hao uliowaona wewe ni certificate na diploma. Hakuna Daktari ambaye hajafundishwa na kuonyeshwa cha kufanya na muuguzi.
Hi kweli
 
Conclussion.
Nurse have high demand to acqure employment compared to MD.
 
Ukiangalia kwa upeo huo huwezi make conclusion kwa sababu hujui mishe mishe anazofanya nje ya kazi yake...., kinachozungumzwa hapa na mleta mada ni kuwa nursing iko juu kwa sasa kuliko udaktari [emoji2] [emoji2] [emoji2] hiki kitu hakiji kutokea hata siku moja,,, kwanza nurse huwa wanawaona ma Dr kama viongozi wao na huwa wanapokea order tuu ni mwendo wa kuambiwa weka canula hapa speed to maximum and you follow,,Na huo ndo utaratibu
Hizo order zako wapelekee hao nurses wako ENs na RNs wasiojiamini. Mimi huniachii mgonjwa peke yangu na kama yuko serious hiyo cannula na hizo drip tutaziweka wote.

Bahati nzuri huku nilipo tena hapa bongo kwenye hospitali moja kubwa sana yenye nurses wanaojielewa nurses tunamake pesa nyingi kuliko Drs.

Na huo ujinga wa Nurses kuwaona Drs kama viongozi wao uishiie huko kwenye hospitali zenu huko ambazo hadi katibu mwenezi wa chama anataka kuwa boss wako.

Mimi huku boss wangu ni Muuguzi mwenzangu na ndo nawajibika kwake.
 
Mbona unaongea huku unalia nurse wangu?? Sasa niandalie yule mgonjwa nataka niiingie naye theatre saa 3 asubuhi kesho. Una ujeuri wa kumwambia Doctor maneno hayo? Nurse ni nurse na Doctor ni Doctor wacha kujifariji, wewe ni muuguzi. But mwisho wa siku tunategemeana sana mkuu.

Ila Daktari yupo juu ya nurse, ni suala la protokali tu chief, kuhusu kupiga pesa ni ujanja wa mtu. Tena mi nasema maabara ndo wanapiga pesa kuliko sisi wote.
 
Kwa upande wa ajira ni kweli. Nurse anaajirika haraka kuliko Daktari.
 
wako kwenye box, duniani kote trend inaonyesha kuwa MD wanazidi kukosa soko. Ngoja tuwape miaka 10 tu mbele watarudi kwenye uzi wangu huu na kuniita mtabiri na mtume.
Hapa nakubaliana na wewe. Ni kweli MD inakwenda kupoteza soko kwenye ajira.
 
Mbona unaongea huku unalia nurse wangu?? Sasa niandalie yule mgonjwa nataka niiingie naye theatre saa 3 asubuhi kesho. Una ujeuri wa kumwambia Doctor maneno hayo?? Nurse ni nurse na Doctor ni Doctor wacha kujifariji, wewe ni muuguzi. But mwisho wa siku tunategemeana sana mkuu. Ila Daktari yupo juu ya nurse, ni suala la protokali tu chief, kuhusu kupiga pesa ni ujanja wa mtu. Tena mi nasema maabara ndo wanapiga pesa kuliko sisi wote.
Tatizo lako ni grandiose. Huku niliko mfumo unampa nurse fursa ya kupiga pesa nyingi kuliko daktari na wala sio ujanja na madaktari wa huku tunaheshimiana coz daktari hawezi mzindi allowance nurse hata awe call kila siku.
Pengine chief uko kwenye kahospitali kadogo. Mimi niko kwa hospitali kubwa sana
 
Mbona unaongea huku unalia nurse wangu?? Sasa niandalie yule mgonjwa nataka niiingie naye theatre saa 3 asubuhi kesho. Una ujeuri wa kumwambia Doctor maneno hayo?? Nurse ni nurse na Doctor ni Doctor wacha kujifariji, wewe ni muuguzi. But mwisho wa siku tunategemeana sana mkuu. Ila Daktari yupo juu ya nurse, ni suala la protokali tu chief, kuhusu kupiga pesa ni ujanja wa mtu. Tena mi nasema maabara ndo wanapiga pesa kuliko sisi wote.
Hiyo kusema daktari yu juu ya nurse tushatoka huko zamani sana. Wewe endelea kuamini hivyo ila kaa ukijua siku utakapokuwa mikononi mwa nurses ndo utajua ninachosema
 
Inategemea na aina ya nurse na chuo alichosoma huyo nurse na kujituma kwa mtu binafsi Kwa mfano chuo nilichosoma MD, nursing na Bpharm wote tulikuwa tunasoma pamoja, tunashare walimu na mtihani wote ni mmoja kwa courses kama microbiology, parasitology, clinical pharmacology, basic na clinical physiology, biostatistics, health psychology, DS na si kweli kwamba MD students walikuwa siku zote wanaongoza katika course zote kwa sababu kusoma udaktari haimaanishi utawazidi wengine kwa kila kitu.
Duuuh mwanangu...sio nurse wala MD ambae anasoma Deep Pharmacology kama pharmacist mkuu....
 
Clinical pharmacology ni the same kwa wote lakini pharmacology yenu wapharmacia na yale ma pharmacognosy mnasoma kivyenu ambayo sisi hatusomi. Ni BMLS tu ambao hawasomi clinical pharmacology
mkuu so kwenye clinical pharmacology mnajifunza mpaka M.OA,contraindication,Adverse reaction,side effect,interaction,.....Pharmacokinetics on drug-Absorption,Distribution,metabolism,Excretion... plus Clinical uses/clinical indication....kweli watu wa MD nao wanasoma vyote hivi???? basi poleni
 
Ukweli uliopo hata sis madktar huwa tunapitiwa kuna kipind lakini nesi huwa anakukumbusha hapa Dr umekosea hz mg haziko hv na pia sio vyote watu wanajua unakuta Dr mwingne kuchanganya Artesunate inj ya malaria hawez na anafundishwa na nesi kwahyo ni kawaida mwingne hata dawa za vvu kugawa hajui au hazielew zaid ya kuziona tu huo ni ukweli uliopo taaaluma ya afya kama hautopenda kujifunza zaid utabakia nanga tu
 
Back
Top Bottom