Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Mishahara ya wahitimu inapangwa kwa kufuata vigezo vingi, miongoni mwa vigezo hivyo ni miaka ya kozi mtu aliyosoma na kuhitimu. Udaktari unasomwa miaka 5 pamoja na mwaka mmoja wa mafunzo kazini (internship) na uuguzi ni miaka 4 au 3 au 2.5 kutokana umesoma chuo gani. Ndio maana daktari anapewa 1.2m kwa Mwezi anapoanza na muuguzi na mfamasia wanapewa 0.980m kama unavyosema. Sasa 1.2 ina tofauti gani kubwa na laki 980? Daktari anapata mapato yake kwa kuhangaika sana huku na huko na kuacha familia yake ili afanye part-time kwenye viosk (hospital za watu binafsi), kuhudhuria seminar, kufanya procedure haramu kama kutoa mimba na kula rushwa (CCD). Kimsingi mchahara wa daktari na muuguzi aliyesema miaka 4 haipishani sana kule utumishi.

Najua ni muda mrefu ila naomba nikusahihishe

Daktari amesoma 5 years mshahara 1,480,000
Mfamasia amesoma 4 years mshahara 1,215,000
Nesi amesoma 4 years mshahara 980,000
Mtaalam wa maabara amesoma 3 years mshahara 980,000

Tofauti ya mshahara wa daktari na nurse ni 500,000. Mkuu, hii unaiona ni ndogo kweli??
 
Iko hivii wacha nikwambie. Utumishi pamoja na vigezo vingi wanavyotumia kupanga mishahara ya watumishi lakini urefu wa kozi aliyosoma mtumishi ni kigezo muhimu pia. Dk anasoma miaka 5 na mwaka mmoja wa internship jumla miaka 6, mfamasia anasoma miaka 4 na mwaka mmoja wa internship jumla miaka 5. Ngoma ilikuwa kwa manesi ambao kulikuwa na makundi mbalimbali ya wahitimu, kulikuwa na kundi la wahitimu ambao ni fresh from school wanaosoma miaka 4 na mwaka mmoja Internship jumla miaka 5 kama wafamasia, kuna kundi la manesi ambao ni in-service (kutoka kazini) walisoma digrii miaka 3 tu bila ya kwenda intern jumla miaka 3, na kundi la wauguzi ambao ni in-service pia lakini walisoma degree ya miaka 2.5 (Aga Khan University) bila kwenda internship, jumla miaka 2.5. Hii iliwachanganya sana pale utumishi katika nomenclature ya degree, categorization na hata kupanga mishashahara ya wahitimu wa uuguzi, hivyo utumishi ikawapa wenye digree ya uuguzi wote kama vile wamesoma miaka 3 bila intern.

Sasa hivi mageuzi katika training ya uuguzi yamebadilika mama, sasa hivi kusoma digree ya uuguzi ni miaka 4 uwe fresh from school or in-service (mwenye diploma) pamoja na mwaka mmoja wa internship jumla miaka 5 kama wafamasia, hivyo, hiyo tofauti ya mishahara kati ya wafamasia na manesi hutaiona tena katu asilani abadan.

Muhimu kwako kufahamu ni kwamba udakatari, uuguzi, ufamasia, umaabara, uradioloji, nk zote ni huduma muhimu kwa mgonjwa ili apone au afe kwa heshima bila mauvimu, zote hizi zinahitaji kujitoa zaidi kuliko maslahi, hazina fedha, na ni huduma ambazo zinategemeana sana kwa umuhimu
 
Ndugu yangu muuguzi naona unaruka ruka tu. Sisi hatukatai kwamba uuguzi ni miongoni mwa fani nzuri lakini huwezi ukalinganisha na udaktari au ufamasia kwa maslahi. Tofauti ya mshahara wa daktari na nurse ni laki tano almost. Kwa hiyo basi, unapokuja mbele za watu kuupigia chapuo uuguzi, usifanye watu waone kama kada.

Btw, wauguzi mnafanya kazi kubwa sana na nzuri sana. Madaktari, wafamasia, waradiolojia, na wahudumu wote wa afya, kongole sana kwetu.

Nasign off kwenye huu mjadala kwa kweli
 
Bado nasisitiza, trend ya afya duniani haiwabebi madakatari hata ubishane kama punguani. Unachokosa wewe ni exposure, uko kwenye box lenye lakiri. Mimi sijasema kuwa udakatari sio kazi nzuri, ila jamii duniani inazidi kuendelea kupunguza uhitaji wake kidogokidogo siku zinavyokwenda, sasa hivi huko duniani, first degree haishiki mgonjwa kabisaaa.
 
Mabadiliko makubwa yaliyotokea kwenye taaluma ya uuguzi nchini hadi sasa ni mengi. Baadhi ya mabadiliko hayo ni kama yafuatayo:
1. Kuanzishwa kwa masomo ya digrii kwenye uuguzi kuanzia mwaka 1989/1990 nchini
2. Kuwa na wauguzi wenye digree, master na PhD nchini
3. Kufunga mafunzo ya Nurse Assistants (One year course) nchini.
4. Kuondoa wauguzi wenye Diploma kuwa Nurse Officers (NO) kama ilivyokuwa imezoeleka kwa miaka mingi.
5. Kuondoa sifa ya darasa la saba na form IV failures kusomea Uuguzi
6. Kuweko na wauguzi wenye taaluma ya ngazi tofauti kwenye kazi; yaani certificates, Diploma, Bachelor, Masters na PhD wanaoihudumia jamii.
7. Wauguzi kuanzisha na kuendesha Maternity Homes zao kuhudumia jamii
8. Wauguzi kufanya tafiti ndogo na kubwa
9. Utumishi kuwa scheme of services kwa kada zote za uuguzi.
10. Nursing kujiendesha na kujisimamia wenyewe
11. Nurses kufanya mitihani ya licensure kuthibiti ubora wao, jambo hili limeigwa pia na taaluma nyingine za afya nchini.
12. Kuna makampuni ya kufanya usafi wodini na kwenye mazingira ya hospital.
 
Hayo yote uliyoyasema ni sawa ila sio kwa TZ hapa

Uuguzi kwetu ni miongoni mwa kazi ngumu na yenye risk kubwa na mapato kidogo sana

Muuguzi mwenye shahada serikalini ana basic ya 980K na amesoma miaka minne..Yani analingana mshahara na Lab scientist aliyesoma miaka mitatu
Aaaah hizi ni kasoro ndogondogo ambazo zinarekebishaika pale utumishi, ni maswala ya muda TU. Mimi hoja yangu Iko kwenye wingi wa fursa za ajira na kujiajili duniani.
 
Manesi wa kiume sjui mpoje sasa nakwambia njoo unvishe gown theatre hautak[emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Aaaah hicho ni kitu kidogo saaaana, Boss hapo ni mgonjwa, na kila kitu ni kutokana na mahitaji ya mgonjwa ya wakati huo na timu inayohitajika kutatua shida ya mgonjwa
 
Sasa kwanini ugome na unajua nmetoka kuscrub
 
Aaaah hizi ni kasoro ndogondogo ambazo zinarekebishaika pale utumishi, ni maswala ya muda TU. Mimi hoja yangu Iko kwenye wingi wa fursa za ajira na kujiajili duniani.
Uko sawa kabisa.
 
uwongo wa wazi,moja ya kazi za kishamba basi ni huo uuguzi... mwanaume nurse huwa anakosa kujiamini kabisa....daktari anaandika wew unafuatisha kwa vitendo kilichoandikwa, unakaa na mgonjwa masaa yote.. aah wapi mazee bora msome ufundi magari hasa kwa wanaume
Sio lazima usome uuguzi, nilichosema uuguzi una Fursa nyingi kuliko kada nyingine za afya. Sijasema kuwa unalipa saaaana kuliko kazi nyingine zote duniani. Hata hivyo mishahara tz inapangwa pale utumishi. Kima cha chini kitategemea kiwango cha elimu, umesoma kozi ya muda gani na una uzoefu wa miaka mingapi. Baada ya hapo itategemea na juhudi zako binafsi latika kuhudhilia semina na mikutano yenye posho, na kufanyakazi za ziada mbali na zile za mwajili.
 
Ndugu yangu muuguzi naona unaruka ruka tu. Sisi hatukatai kwamba uuguzi ni miongoni mwa fani nzuri lakini huwezi ukalinganisha na udaktari au ufamasia kwa maslahi. Tofauti ya mshahara wa daktari na nurse ni laki tano almost. Kwa hiyo basi, unapokuja mbele za watu kuupigia chapuo uuguzi, usifanye watu waone kama kada.

Btw, wauguzi mnafanya kazi kubwa sana na nzuri sana. Madaktari, wafamasia, waradiolojia, na wahudumu wote wa afya, kongole sana kwetu.

Nasign off kwenye huu mjadala kwa kweli
Mimi siongelei maslahi, nimejikita kwenye fursa. Uzi wangu hausemi maslahi. Maslahi mara nyingi yatatehemea na umesoma miaka mingapi , umesoma nini uko kitengo gani na ni mla rushwa na mwizi kwa kiasi gani.
 
Back
Top Bottom