Tofauti ni kwamba wenye six pac wanapewa bureView attachment 2921369
Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi..
Moral of the story: Vijana tafuteni hela, pisi haziangalii six pack siku hizi, pochi nene ndio dili.
Point na yeye atakuwepopoint ni nn
Ukiniambia mtu fulani ni mzuri sana huwa nawaza hata hiyp skeletone yale itaonelana na huo uzuri wa nje?View attachment 2921369
Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi..
Moral of the story: Vijana tafuteni hela, pisi haziangalii six pack siku hizi, pochi nene ndio dili.
yeye ni mwehu mwambiePoint na yeye atakuwepo
Tutafte six pacsTofauti ni kwamba wenye six pac wanapewa bure
Labda na masugar mamyTofauti ni kwamba wenye six pac wanapewa bure