Vijana tafuteni partner sio mke

Vijana tafuteni partner sio mke

katawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2010
Posts
1,103
Reaction score
2,575
Nawaunga mkono wanaokataa ndoa, ndoa kwa sasa ni utapeli hususani kwa vijana wa kiume na wanaume.
Kijana wa kiume ukishindwa kabisa kujizuia kutoishi na mwanamke basi tafuta mwanamke atakayekuwa jirani na wewe ambaye atakusaidia mambo fulani yaende.

Usifunge ndoa, Ishi naye akiwa hajui kama ana hadhi ya kuwa mke ama hawara. Usiwekeze moyo kwa mwanamke na wala usiwekeze Mali kwake. K Ukiishi naye hivyo hatakusumbua sana kwakuwa anakuwa anajua yeye si mke.

Ishi kwako naye kwake, mpangie huko na asijue Mishe zako nyingi. Akikuzingua piga chini songa mbele.
 
Nawaunga mkono wanaokataa ndoa, ndoa kwa sasa ni utapeli hususani kwa vijana wa kiume na wanaume.
Kijana wa kiume ukishindwa kabisa kujizuia kutoishi na mwanamke basi tafuta mwanamke atakayekuwa jirani na wewe ambaye atakusaidia mambo fulani yaende.
Usifunge ndoa, Ishi naye akiwa hajui kama ana hadhi ya kuwa mke ama hawara.
Usiwekeze moyo kwa mwanamke na wala usiwekeze Mali kwake. K
Ukiishi naye hivyo hatakusumbua sana kwakuwa anakuwa anajua yeye si mke.
Ishi kwako naye kwake, mpangie huko na asijue Mishe zako nyingi.
Akikuzingua piga chini songa mbele.
Hii siyo kwa vijana tu hata watu wazima ina apply vizuri kabisa
 
Bidii imekua kubwa wengi wanapata partners wanaume wenzao na wanaona ni bora kuliko kuoa
Mungu nusuru kizazi hiki
Kama wanawake wamekua wabia ndani ya karakana ya shetani katika kuifanya ndoa kua mwiba mchungu kwa wanaume kwa kuchomekea 50/50, iliyozaa ujuaji, kiburi, jeuri.

Je, Wanaume wangefanyaje basi ?!. huku mifumo ya sheria ikiwakandamiza wanaume, mwanamke anaweza kufanya upuuzi na akaleta jeuri anajua kuna "dawati la jinsia" ambalo kimsingi lipo kumtetea mwanamke na kumkandamiza mwanaume ?!

ndoa nyingi zimekua janga na chanzo ni WANAWAKE na wanalo dawati la kuwatetea. Nawaunga mkono vijana wakiona upepo hauko sawa wasioe, kwanza siku hizi maku zimekua cheap na available na hata wakijaribu kuoa hakuna jipya wanawake wa leo ni mabwawa matupu.

Screenshot_20211116-210619_Twitter.jpg
 
Back
Top Bottom