Amezungukaaa,wakati heading ilitakiwa iwe kijana kataa ndoaUzi mwingine wa kataa ndoa
Hii siyo kwa vijana tu hata watu wazima ina apply vizuri kabisaNawaunga mkono wanaokataa ndoa, ndoa kwa sasa ni utapeli hususani kwa vijana wa kiume na wanaume.
Kijana wa kiume ukishindwa kabisa kujizuia kutoishi na mwanamke basi tafuta mwanamke atakayekuwa jirani na wewe ambaye atakusaidia mambo fulani yaende.
Usifunge ndoa, Ishi naye akiwa hajui kama ana hadhi ya kuwa mke ama hawara.
Usiwekeze moyo kwa mwanamke na wala usiwekeze Mali kwake. K
Ukiishi naye hivyo hatakusumbua sana kwakuwa anakuwa anajua yeye si mke.
Ishi kwako naye kwake, mpangie huko na asijue Mishe zako nyingi.
Akikuzingua piga chini songa mbele.
Huyo partner ndio utazeeka naye atakuhudumiaIla ujue uzeeni kuna kutunzana. Uzeeni ngugu zako hawawezi kukuhudumia kama mke wako.
SHETANI AMEWATAKA NINYI AWAPEPETE KAMA NGANO.
Kama wanawake wamekua wabia ndani ya karakana ya shetani katika kuifanya ndoa kua mwiba mchungu kwa wanaume kwa kuchomekea 50/50, iliyozaa ujuaji, kiburi, jeuri.Bidii imekua kubwa wengi wanapata partners wanaume wenzao na wanaona ni bora kuliko kuoa
Mungu nusuru kizazi hiki