mama D hapa tuelewane kitu kimoja, kizazi kilichowalea hawa mabinti ambao ni wakuwaoa sisi mmewalea nyinyi. Nyie ndio mlisimamia malezi yao na ndio kizazi chenu ambacho mlisimamia kila agenda niliyoitaja pale juu pamoja na utungwaji wa sheria za kuwabana wanaume kufanya maamuzi bila sheria za kumkinga mwanamke hata akikosea kuingilia. It's not an excuse, ukitaka kutatua tatizo unaenda kwenye mzizi wa tatizo sio kukata matawi. You implemented those agendas and laws na mlibadilisha malezi ya mtoto wa kike na wakiume. Sasa leo hii mnakuja mnasema mwanaume asimamie nafasi yake, 😂😂😂 kijana ambae ni waleo ambapo all things and foundation mlishaziweka na kumfunga and that was your generation and particular your gender kwasababu ukiisoma agenda ya gender equality iliyojadiliwa Beijing haikuwa hivi kuna vitu mlivipush more than the exceeded limit na mwishowe mkaingilia hadi dhana ya ndoa. Huwezi kuleta huo mzigo kwa kijana leo ambapo challenges za life zimekuwa nyingi sana na uchumi kuwa mgumu kukuwa kwa mtu mmoja mmoja mkiexpect aanze kujifungua kwakuwa atarisk kupoteza muda mwingi kufanya hivyo wakati uchumi wake haujakuwa. You're generation laid the foundation na mkabadilisha maliza na kuharibu maadili vibaya sana halafu leo unataka mwanaume asimamie nafasi yake at 100% wakati nyie mlishainarrow to less than 50%. Tafakarini kwanza sio muishie kulaumu. Mlilea watoto vibaya sana na mlipush very bad agendas that exceeded the limit.