Vijana tafuteni Pesa/ hela muepukane na hizi dharau

Nje ya topiki hivi kuna uhusiano gani kati ya msemo wa kutafuta hela na kushobokea na ku glorify ufuska miongoni mwetu . Kwani end goal ya ktafuta hela ni kukidhi tamaa zetu za kingoo peke yake? Au
 
Tunahamasishana kutafuta hela kisa wanawake. Wakiambiwa waoe wanagoma. Kizazi cha sheitwani kabisa
 
Nje ya topiki hivi kuna uhusiano gani kati ya msemo wa kutafuta hela na kushobokea na ku glorify ufuska miongoni mwetu . Kwani end goal ya ktafuta hela ni kukidhi tamaa zetu za kingoo peke yake? Au
Its partly that. Way.
 
Mkuu saizi wengi wamelala....

Mtoto poshi kama poshi tuendelee kumuita shemejiii maana kilainishi pesa hatunacho 😁😁😁

Kamuonea huruma kamjibu labda amuweke jela, mi nimewaza hata jela hawezi muweka πŸ˜†πŸ˜†
🀣🀣
So unataka watu watafte hela ili kuwapata wanawake?
Hayo ni maamuzi ya mtu Mwenyewe, binafsi nasiklzia robot za Mr Elon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…