Vijana tuache kuwa misukule ya wanasiasa

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Mtu unapewa elfu 20 ukalete fujo Kwenye mkutano wa siasa, unahatarisha Maisha Kwa sababu ya hela ndogo, wakati waliokutuma wamekaa wamekunja 4 wanajilimbikizia Mali nyie ndio mnawekwa mbele kama chambo...

ila hawa VIJANA waangaliwe na mabosi zao waongezewe dau kuna Yule alipigwa Right πŸ‘Š sidhani kama leo ataamka, pesa ndogo inataka kukuua aiseee

Your browser is not able to display this video.
 
Kuwatafutia tuu watu kesi...
 
Alihakikishiwa usalama na uhakika.
 
INasikitisha sana. Kuna vijana wanajiingiza kwenye siasa ambazo zitawaletea shida huko mbeleni.

Waache kutumika.
 
Hapo ukimchunguza hiyo kijana yeye na familia yake ina maisha dhiki kabisa ila anajali njaa yake ya siku anasahau tanganyika inajengwa kwa ajili ya vizazi vijavyo
 
20 kubwa sana, uvfisiem ukiwadanganya utawaingiza serikalini wawe usalama wa taifa ukiwanunulia kisungura aka ambiance ya buku mbili na bange ya buku wanaweza kuchukua hatua Kali kwa yeyote
 
Γ‘aona JF wamefuta namba ya huyo kibaka niliyoweka WA uvccm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Your browser is not able to play this audio.
 
Hapo ukimchunguza hiyo kijana yeye na familia yake ina maisha dhiki kabisa ila anajali njaa yake ya siku anasahau tanganyika inajengwa kwa ajili ya vizazi vijavyo
Maboss zao ndio wanafaid hawa NI kama vibaka Tu wanatumwa kama chambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…