Vijana, tuache tamaa ya kutamani wanawake wakubwa au wake za watu

Vijana, tuache tamaa ya kutamani wanawake wakubwa au wake za watu

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
2,481
Reaction score
4,014
Habari wana JF.

Vijana wengi miaka hii wamekuwa wakipagawa/winda/windwa/jipitishapitisha/tamani sana mijimama lakini pia wake za watu.

Let talk about Mijimama first.

✓ Wakuu Jimama halina jipya utamu wote umeisha kilichobaki labda magojwa tu.

✓Jimama halina faida litakufanya ujisahau kujitafuta siku likipata kakijana bora zaidi yako litakutimua, hivyo basi linakupotezea muda/nguvu amka.

✓ Jimama linaweza kukubwaga anytime hata kukuchapa makofi na hakuna kitu utalifanya amka.

✓Jimama litakufanya wewe mtoto wakiume ushindwe/uchelewe kuanzisha familia yako cuz lenyewe limesha maliza kila kitu(kuzaa, kusomesha, kujenga n.k).

Wake za watu.

✓Mume wake anaichapa anytime, everyday, anyplace, anyway na wewe unakuja na domo lako kunyonya uchafu wa mwanaume wenzio na bado siku ukikamatwa 👹.

✓Mke wa mtu kamwe hawezi kumuacha mumewe ili awe anakupa wewe tu hivyo basi kijana unatumika tu na kupoteza muda kwenye penzi/familia ya watu.

✓Unaacha vitu mnato unaenda Kwa mke wa mtu ambaye labda kabla ya ndoa kashaliwa mpaka kachoka sasa ameona ajitulize kwenye ndoa wewe unakula tena.

✓Unaichapa kiwizi wizi hauna uhuru na uhuru wako mwenyewe cuz unaelewa kuwa "Mke wa mtu sumu hata maziwa siku hizi hayafanyi kazi kwasababu yanatiwa maji sana amka.

VIJANA TUPUNGUZE/TUACHE Kula Mijimama/Wake za watu.
 
Ya kwanza kipengele cha pili ni sawa kabisa
Ya pili kipengele cha kwanza ni kweli tupu
 
Back
Top Bottom