Vijana tufanye kazi nyingine, hamna tajiri Tanzania aliyetajirika na Forex

Vijana tufanye kazi nyingine, hamna tajiri Tanzania aliyetajirika na Forex

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Forex inakupa matumaini sana lakini ukweli ni kua haiwez kukutoa utaendelea kupoteza hela kisa kuangaika na signals!

Unaweza jiona unaweza kwenye demo acc
Ukiingiza hela ndo utajua!
Kuna namna broker wanafanya kuzikula hela zako
 
Forex inakupa matumaini sana lakini ukweli ni kua haiwez kukutoa utaendelea kupoteza hela kisa kuangaika na signals!!

Unaweza jiona unaweza kwenye demo acc
Ukiingiza hela ndo utajua!!
Kuna namna broker wanafanya kuzikula hela zako
Una uhakika ama hujakutana na people making it through forex...sio kila mtu he is high profile wengine wako low profile and they are making it
 
Kuna yule mhamasishaji na shabiki wa taifa stars alihojiwa siku moja kwenye tivii anawezaje kugharamia kusafiri kila sehemu taifa stars inapocheza akajibu ametrade sana japo hapendi hamasisha vijana.

So inaweza isikulipe wewe lakini kuna watu imewanufaisha.
 
Izo hadith jombaa !! Mi mwenyewe mwanzo niliambiwa
 
Sema nini watu wanaliwa sana vichwa huko forex.. mimi kwa uzoefu wangu mdogo kinachopoteza wengi ni emotions na mitaji midogo...

Ila kama issue imekushinda usicoclude kwamba hakuna watu wanaotengeneza hela, mimi nilijaribu huo mchezo 2017, ila baada ya muda nikapiga hesabu nikakuta deposits ni nyingi kuliko withdraw nikapiga chini toka siku hiyo. Nilipopata alternative ya blogging sikurud tena mpaka leo.

Ila naona vijana bado wanakomaa, mm kuna dogo huwa namuuzia usd mpka 400 kila wiki, na ananunua toka kwa watu tofauti kuna muda ananunua mpka usd 10k na zote zinaenda fx, nyingine anaziuza na nyingine anadeposit yeye mwenyewe.

Kwahiyo nilichoona fx kuna watu inawalipa ndo maana soko la hizi usd halijawahi kauka.

Kama umeona kwako haiwezekani ni jambo jema, fanya mambo mengine.
 
Kuna yule mhamasishaji na shabiki wa taifa stars alihojiwa siku moja kwenye tivii anawezaje kugharamia kusafiri kila sehemu taifa stars inapocheza akajibu ametrade sana japo hapendi hamasisha vijana.
So inaweza isikulipe wewe lakini kuna watu imewanufaisha.
Kuna ku-trade stock and other investment vehicles. Sio kisa amesema ame-trade basi ukajua ni TRADING FOREX, upo hapo!
 
Back
Top Bottom