Vijana tufanye kazi nyingine, hamna tajiri Tanzania aliyetajirika na Forex

Vijana tufanye kazi nyingine, hamna tajiri Tanzania aliyetajirika na Forex

Forex inakupa matumaini sana lakini ukweli ni kua haiwez kukutoa utaendelea kupoteza hela kisa kuangaika na signals!!

Unaweza jiona unaweza kwenye demo acc
Ukiingiza hela ndo utajua!!
Kuna namna broker wanafanya kuzikula hela zako
Forex ndo biashara gani?
 
Sio kweli, Tuache kutafuta sababu.

Adui mkubwa katika forex ni wewe mwenyewe, Utakapofikia hatua ya kuuukubali huu msemo, basi ndio mwanzo wa wewe kuwa profitable trader, Hii ina maana kuwa katika biashara yeyote ile adui namba moja wa biashara husika ni mfanya biashara husika.

Trades nilizofungia siku Jana. xxxJPY

View attachment 2032397

Fungua Chart yako na hakiki hii live trade, hiyo hapo juu.
View attachment 2032400
Wakati GJ inaendelea nilirekodi hii video

Nikafunga siku kwa hii 81%
View attachment 2032405

Hakiki entries za trades zangu za jana zote kwenye Telegram Channel yangu:
Code:
https://t.me/DTTfx

Faida na Hasara ipo kwenye kila aina ya biashara! Ni jukumu lako kupambana ili utoke kwenye Hasara ZONE.
Mkuu Mwl.RCT hata usihangaike kumwaminisha mtu awaye yote kitu chochote. Anayeona forex ni kamali mwache aamini. Anayeona ni business let it be. Hakupunguzii faida Wala hakuongezei faida. Mimi ukiniuliza kilimo ndio kamali hasa (Mkulima ana gharama za kilimo lakini hajui atauza Bei gani na atapata kiasi gani kwa sababu Bei ni ya siku hiyo hiyo sokoni).

Nimetrade forex pairs, ni good business kama ilivyo ya kununua mahindi, kuweka stoo kusubiri January na February soko likikaa poa tuuze.
Ina hasara zake na faida zake kama ilivyo biashara yoyote ile. Hata mahindi na mpunga una hasara nyingi tu lakini watu hawaoni. Ni ngumu Sana kitu kukubaliwa na wote.
Kila mtu afanye anachoweza na usitake kuwa msemaji wetu, ukipata hasara ni wewe waache wengine waendelee.
 
Forex inakupa matumaini sana lakini ukweli ni kua haiwez kukutoa utaendelea kupoteza hela kisa kuangaika na signals!!

Unaweza jiona unaweza kwenye demo acc
Ukiingiza hela ndo utajua!!
Kuna namna broker wanafanya kuzikula hela zako
Watu wengi wanaopiga ela kwenye mambo mengi uwa ni low profile, wahamasishaji uwa mara nyingi wanalenga kunasa watu wa kula pesa yao kwa njia eti wanawafundisha.
 
Kuna wanafunzi wengi sana wa huyo jamaa(Mr.Michael) wamelipia hela nyingi kujifunza hiyo course lakini hawawezi kutrade kwa sababu ya hizo changamoto mbili nilizozitaja hapo juu.
1638875422909.png

Nimeikuta mahala hii comment

"ICT (Michael Huddleston) is brilliant, even though most of what it teaches is likely garbage and filler, the 5% that is not garbage is genial, in my opinion."

Source: FF
 
kwani inakuuma nini kwa mfano mbona hamuishi kuwananga vijana wa forex muachane nao wewe kama unaona ngumu au utapeli kaa kushoto acha wanaofanya wafanye tumechoka na nyuzi zenu. Waambie vijana biashara ipi rahisi?
 
Ndugu yangu nikwambie tu kwamba forex ni biashara kama biashara zingine. Ukishindwa kufanya forex ujue umefeli kufanya moja ya biashara kati ya biashara nyingi. Binafsi sina haja ya kukwambia nina nini na nin kupitia forex ila ujue tu imeninufaisha na inaendelea kuninufaisha.

Ningekuelewa kama Ungekuja na point kwamba una maarifa madogo sana ya forex hivyo haikufaidishi.
 
Hesabu si kamali linakua na jibu na nji zza hesabu ziko bayana ushindwe wewe!! Sasa forex haina njia za uhakika apo apo unaambiwa muda wwote inaweza kubadilisha ulekeo bila hata indication!!!
Sio bila indication Ila wew ndo huzioni indications. inaonekana umeingia kwenye forex ukaanza kuwinda pesa na sio maarifa yake
 
Waliotajirika kwa forex wapo wengi tatizo Forex ni biashara yenye utajiri mkubwa zaidi duniani ambayo hakuna benki na matajiri watataka uijue🐒
Hahahhaahha ndio statement ya bwana sir jeff denis
 
Quote of The Day

"It makes me think that some trading theories have been created to provide some fantasy to the markets that only losers are passionate about. And there it is where some interests arise for this nonsense."
 
Mkuu Mwl.RCT hata usihangaike kumwaminisha mtu awaye yote kitu chochote. Anayeona forex ni kamali mwache aamini. Anayeona ni business let it be. Hakupunguzii faida Wala hakuongezei faida. Mimi ukiniuliza kilimo ndio kamali hasa (Mkulima ana gharama za kilimo lakini hajui atauza Bei gani na atapata kiasi gani kwa sababu Bei ni ya siku hiyo hiyo sokoni).

Nimetrade forex pairs, ni good business kama ilivyo ya kununua mahindi, kuweka stoo kusubiri January na February soko likikaa poa tuuze.
Ina hasara zake na faida zake kama ilivyo biashara yoyote ile. Hata mahindi na mpunga una hasara nyingi tu lakini watu hawaoni. Ni ngumu Sana kitu kukubaliwa na wote.
Kila mtu afanye anachoweza na usitake kuwa msemaji wetu, ukipata hasara ni wewe waache wengine waendelee.
Kwa akili hizi nitafute unywe supu bure!!!! usiogope walinzi wangu wee jitambulishe tu halafu ingia bure uleeeeeeee.....
 
Back
Top Bottom