Sio kweli, Tuache kutafuta sababu.
Adui mkubwa katika forex ni wewe mwenyewe, Utakapofikia hatua ya
kuuukubali huu msemo, basi ndio mwanzo wa wewe kuwa profitable trader, Hii ina maana kuwa katika biashara yeyote ile
adui namba moja wa biashara husika ni mfanya biashara husika.
Trades nilizofungia siku Jana.
xxxJPY
View attachment 2032397
Fungua Chart yako na hakiki hii
live trade, hiyo hapo juu.
View attachment 2032400
Wakati GJ inaendelea nilirekodi hii video
Nikafunga
siku kwa hii 81%
View attachment 2032405
Hakiki entries za trades zangu za jana zote kwenye
Telegram Channel yangu:
Faida na Hasara ipo kwenye kila aina ya biashara! Ni jukumu lako kupambana ili utoke kwenye
Hasara ZONE.