Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Bongo zozo anawaingiza king wazungu wana siri zao, hiyo forex anatrade saa ngapi na muda mwingi yupo kwenye misele maeneo mbalimbali?Kuna yule mhamasishaji na shabiki wa taifa stars alihojiwa siku moja kwenye tivii anawezaje kugharamia kusafiri kila sehemu taifa stars inapocheza akajibu ametrade sana japo hapendi hamasisha vijana.
So inaweza isikulipe wewe lakini kuna watu imewanufaisha.
Tena yeye amesema yupo kwenye Bitcoin lakini ni longolongo utakuta mwenzio anakula urithi alioacha Babu yake.