Vijana tufanye kazi nyingine, hamna tajiri Tanzania aliyetajirika na Forex

Vijana tufanye kazi nyingine, hamna tajiri Tanzania aliyetajirika na Forex

Kuna yule mhamasishaji na shabiki wa taifa stars alihojiwa siku moja kwenye tivii anawezaje kugharamia kusafiri kila sehemu taifa stars inapocheza akajibu ametrade sana japo hapendi hamasisha vijana.
So inaweza isikulipe wewe lakini kuna watu imewanufaisha.
Bongo zozo anawaingiza king wazungu wana siri zao, hiyo forex anatrade saa ngapi na muda mwingi yupo kwenye misele maeneo mbalimbali?

Tena yeye amesema yupo kwenye Bitcoin lakini ni longolongo utakuta mwenzio anakula urithi alioacha Babu yake.
 
Kuna namna broker wanafanya kuzikula hela zako
Sio kweli, Tuache kutafuta sababu.

Adui mkubwa katika forex ni wewe mwenyewe, Utakapofikia hatua ya kuuukubali huu msemo, basi ndio mwanzo wa wewe kuwa profitable trader, Hii ina maana kuwa katika biashara yeyote ile adui namba moja wa biashara husika ni mfanya biashara husika.

Trades nilizofungia siku Jana. xxxJPY

Fungua Chart yako na hakiki hii live trade, hiyo hapo juu.

Wakati GJ inaendelea nilirekodi hii video

Nikafunga siku kwa hii 81%
1638606194009.png

Hakiki entries za trades zangu za jana zote kwenye Telegram Channel yangu:
Code:
https://t.me/DTTfx

Faida na Hasara ipo kwenye kila aina ya biashara! Ni jukumu lako kupambana ili utoke kwenye Hasara ZONE.

Una uhakika ama hujakutana na people making it through forex...sio kila mtu he is high profile wengine wako low profile and they are making it
 
Sio kweli, Tuache kutafuta sababu.

Adui mkubwa katika forex ni wewe mwenyewe, Utakapofikia hatua ya kuuukubali huu msemo, basi ndio mwanzo wa wewe kuwa profitable trader, Hii ina maana kuwa katika biashara yeyote ile adui namba moja wa biashara husika ni mfanya biashara husika.

Trades nilizofungia siku Jana. xxxJPY

View attachment 2032397

Fungua Chart yako na hakiki hii live trade, hiyo hapo juu.
View attachment 2032400
Wakati GJ inaendelea nilirekodi hii video

Nikafunga siku kwa hii 81%
View attachment 2032405

Hakiki entries za trades zangu za jana zote kwenye Telegram Channel yangu:
Code:
https://t.me/DTTfx

Faida na Hasara ipo kwenye kila aina ya biashara! Ni jukumu lako kupambana ili utoke kwenye Hasara ZONE.
Miaka mingi Mwl.RCT huwa nakuheshimu sana. Mungu aendelee kukubariki sana sana sana. Ni mtu asie na mihemko kwenye kujibu hoja na pia huwa umejikita kwenye ukweli. Kwa wasiofahamu biashara hii wanaweza kubeza Ila tunaofanya biashara hizi tunaelewa kile umenena. Heshima yako mkuu.
 
Jana usiku wa manane nimeota kuwa kuna watu wameambiwa kuwa udaktari unalipa sana, basi wakaenda kwenye mitandao na google kujifunza udaktari kwa wiki moja kisha wakaanza kufanyia watu upasuaji wa moyo na ubongo.

Kwenye hiyo ndoto nimeona maelfu ya wagonjwa wakifa baada ya kufanyiwa operation hizo za elimu ya kulipua na hao madokta wakifa kwa stress pia.
 
Kuna yule mhamasishaji na shabiki wa taifa stars alihojiwa siku moja kwenye tivii anawezaje kugharamia kusafiri kila sehemu taifa stars inapocheza akajibu ametrade sana japo hapendi hamasisha vijana.
So inaweza isikulipe wewe lakini kuna watu imewanufaisha.
Yule ameinvest kwenye Bitcoin. Na asije akafanya kosa la kujaribu kuhamasisha vijana waingie kwenye hiyo ishu hata kama inalipa. Hii nchi raia wake wana vichwa vigumu kama mawe. NO OFFENSE.
 
Bongo zozo anawaingiza king wazungu wana siri zao, hiyo forex anatrade saa ngapi na muda mwingi yupo kwenye misele maeneo mbalimbali?

Tena yeye amesema yupo kwenye Bitcoin lakini ni longolongo utakuta mwenzio anakula urithi alioacha Babu yake.
Kwanini mkisia neno "TRADE" akili inawapeleka kwenye FOREX?!
 
broker ndo mafiaaaaa.... yaninunaweka stop loss anakucheki tu... unaweka take profit anakuzoom tu... dk kazaa mbele anachesha soko linahit stop loss af ngoma inapanda hadi kwenye take profit within a second...

Ili uwin forex lazma uwe mafia kuliko broker
 
acha kuwa nyumbu njoo nikufundshe jinsi ya kuwinda kama shark,mind set yako ndo inauponza Ukitaka utajiri usiwe muoga kurisk pesa au maisha muulize tajiri yoyote atakuambia lzima utake risky
 
Jana usiku wa manane nimeota kuwa kuna watu wameambiwa kuwa udaktari unalipa sana, basi wakaenda kwenye mitandao na google kujifunza udaktari kwa wiki moja kisha wakaanza kufanyia watu upasuaji wa moyo na ubongo.

Kwenye hiyo ndoto nimeona maelfu ya wagonjwa wakifa baada ya kufanyiwa operation hizo za elimu ya kulipua na hao madokta wakifa kwa stress pia.
Nipe link na vitabu ambavyo vimeelezea ICT Strategy
 
Wewe kama haukulipi na wenzako inawalipa inskuwasha nini!?

Smart911 huwa anasema" waachie mambo yao.."

Unavalia vibwebwe vitu usivyovijua .
 
Ukitaka kufanika usisikilize maneno ya walioshndwa

FX sio Rocket Science
 
Jana usiku wa manane nimeota kuwa kuna watu wameambiwa kuwa udaktari unalipa sana, basi wakaenda kwenye mitandao na google kujifunza udaktari kwa wiki moja kisha wakaanza kufanyia watu upasuaji wa moyo na ubongo.

Kwenye hiyo ndoto nimeona maelfu ya wagonjwa wakifa baada ya kufanyiwa operation hizo za elimu ya kulipua na hao madokta wakifa kwa stress pia.
Mimi nimeota ui engineer unalipa

Kuna watu wanasomea uingeneer wakajenga madaraja ya chini ya viwango yakabomoka na kuua raia wengine wako kitaa hawana kazi waa tenda wana stress wamekuwa wamachinga pamoja na degree zao za uhandisi[emoji2][emoji1787]
 
Bora ukabet mpira ila sio Forex huko, kuna master wangu wa mambo ya mitandao ana make money sana online ila aliponiambia hivo bora ukabet mpira, sikutaka tena hata kujua folex ni kitu gan kabisa.
Pole
 
KWA SABABU IMEKUSHINDE WEWE BASI HAIMAANISHI KILA MTU ITAMSHINDA. Wewe huna knowledge wala huna skills hayo huenda itakua umesikia maneno ya vijiweni tu. Forex ina hitaji uvumilivu.
 
Nipe link na vitabu ambavyo vimeelezea ICT Strategy
Hakuna kitabu kinachoelezea ICT strategy.Njia pekee ya kujifunza ICT ni uende kwenye magroup ya Telegram yaliyovujisha video za mentorship pamoja na video nyingine za ICT kisha uzidownload na kuanza kuziangalia.

ICT ni nzuri sana,kwa upande wangu ndiyo strategy bora ya muda wote ila ina changamoto kuu mbili ambazo itabidi utumie ujanja wako binafsi kuzitatua:

1.Ni ndefu sana/mno.Utahitaji si chini ya miaka mitatu kumaliza video zote kuanzia free material,mentorship,charter,weekly commentary,etc.

2.ICT ina material ya msingi,muhimu na nondo za kufa mtu ila material hayo hayajapangwa vizuri,ni mengi mno na yanachanganya.Maana yake usipokuwa makini inaweza isikusaidie chochote na ukaishia uko confused.

Kuna wanafunzi wengi sana wa huyo jamaa(Mr.Michael) wamelipia hela nyingi kujifunza hiyo course lakini hawawezi kutrade kwa sababu ya hizo changamoto mbili nilizozitaja hapo juu.
 
Mtoa mada forex waachie wengine, hata Somola hesabu darasani liliwashinda watu je na hilo Somo hesabu ni kamari?

Hesabu si kamali linakua na jibu na nji zza hesabu ziko bayana ushindwe wewe!! Sasa forex haina njia za uhakika apo apo unaambiwa muda wwote inaweza kubadilisha ulekeo bila hata indication!!!
 
Hesabu si kamali linakua na jibu na nji zza hesabu ziko bayana ushindwe wewe!! Sasa forex haina njia za uhakika apo apo unaambiwa muda wwote inaweza kubadilisha ulekeo bila hata indication!!!
S/R, TL, Indicators,Robot

Huwezi win hii gemu kwa hayo mavitu.

Basically wewe ulikuwa una trade against big movers [emoji1787][emoji1787] ndio maana unachezea vya uso kila siku

Umeweka ki dola 100 chako unataka price iende unavyotaka wewe wakati kuna big movers waweweka bilions of dollars

Mtaitukana sana FX ila ukweli ni kwamba mnafanya vitu msivyovijua
 
Back
Top Bottom