Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Una uhakika ama hujakutana na people making it through forex...sio kila mtu he is high profile wengine wako low profile and they are making itForex inakupa matumaini sana lakini ukweli ni kua haiwez kukutoa utaendelea kupoteza hela kisa kuangaika na signals!!
Unaweza jiona unaweza kwenye demo acc
Ukiingiza hela ndo utajua!!
Kuna namna broker wanafanya kuzikula hela zako
Mbna nilisha sema apa ni kamarii hii iliyochangamkaForex inakupa matumaini sana lakini ukweli ni kua haiwez kukutoa utaendelea kupoteza hela kisa kuangaika na signals!!
Unaweza jiona unaweza kwenye demo acc
Ukiingiza hela ndo utajua!!
Kuna namna broker wanafanya kuzikula hela zako
Una uhakika ama hujakutana na people making it through forex...sio kila mtu he is high profile wengine wako low profile and they are making it
Mtoa mada kuna gwiji anaitwa ontario do you know him...huyu n mwl.wa kudowload hela tz zima..mchek uone ana benz zero kilometer
Kuna yule mhamasishaji na shabiki wa taifa stars alihojiwa siku moja kwenye tivii anawezaje kugharamia kusafiri kila sehemu taifa stars inapocheza akajibu ametrade sana japo hapendi hamasisha vijana.
So inaweza isikulipe wewe lakini kuna watu imewanufaisha.
Mbna nilisha sema apa ni kamarii hii iliyochangamka
Ontario's n risk taker but jamaa alikuwaa hasemi reality ya business...hali iliyopelekea janga kubwa hadi jamaa ku left jf mazimaYe mwenyewe kashapotea !! Nimeona watu wameenda semina kibao had wanauziwa signal baadae wote wamepna magumash. Wameacha
Huyu alijua kuna hela za bure bure huko.. kaangushiwa kitu kizito kichwani [emoji1][emoji1]Mkuu utakua umeunguza umeanza kulialia
Elimu s shida!! Shida ni hii forex yenyewe inavoenda haina uhakika hata kidogo!! Umecalculate vizuri, parten, signal zote bado inabadilika!! So uncertainity kama soka
Kuna ku-trade stock and other investment vehicles. Sio kisa amesema ame-trade basi ukajua ni TRADING FOREX, upo hapo!Kuna yule mhamasishaji na shabiki wa taifa stars alihojiwa siku moja kwenye tivii anawezaje kugharamia kusafiri kila sehemu taifa stars inapocheza akajibu ametrade sana japo hapendi hamasisha vijana.
So inaweza isikulipe wewe lakini kuna watu imewanufaisha.