Vijana tujiajiri, kataa kuwa mfungwa

Sio ivyo ni mtu kutokuwa na uelewa anataka nini kwa wakati upi na je mtu huyo ana jua thaman ya kile anacho kifanya na je huyo mtu mtaji aliapate kama alipewa tu wengi wao wanakuwa hawana uchungu na ile pesa walio wekeza kozi wali pata kwa uwepesi
Uwenda ikawa kama ulivyosema bob.Ila amini nakwambia kuna watu awawezi kuajiriwa na kuna watu awawezi kujiajiri.
 
Mungu bariki KAZI ya mikono yangu.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Sawa ila uwaambie wawe na uchaguzi wa mioyo yao.Hata walioajiriwa serikalini wako poa tu.
NB;Kwa nini tulishane mawazo ya kuwa matajiri wote?Hiyo haiwezekani maalim.
🤣🤣🤣Kaongea kwa uchungu afu wewe unamzima kama taa.
Tujifunze kukubali hali ya maisha isiyo na stress ndiyo maisha mazuri kwa kilammoja....Hii utajiri daily hii....mmh!
 
hizi ni motivation tu,mtu hana mwelekeo au tuseme pakukanyagia atajiajirije
 
Pesa za mtaji utapata wapi bila kuajiriwa wakati familia zetu ni ugali tembere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…