Vijana tujikwamue na umasikini tusitegemee Serikali

Kwanza natoa shukrani kwko ndugu yangu kwa kuwa na muono chanya wa kimaisha
Pili shukrani kwa wachangiaji wte mliopita
Nyongeza katika hii mada ningeshauri sisi wachangiaji km kwel Tupo tayali na haya tunaweza kufanya organization nzuri na yenye tija ili kujikwamua kiuchumi vijana wenzangu
 
Fresh from school...welcome to the city boy.
Hayo ni mawazo yako .Nimeamliza chuo toka 2009 na sasa nataka kuunganisha nguvu na vijana wenzangu tufike tunapopataka wewe kama unaona umeridhika na hapo ulipo tupishe sisi ambao bado
 
Mkuu haya yalisha Ongelewa sana humu yaani tusha ongea tukachoka tukastafu.

Hapa watu wata comment then ndo mwisho wa story.

Sio rahisi kabisa na moja ya sababu kuu ni kwamba Forumu kama hii si wote ni Wakasiriamali au wafanya biashara au wana Spirt ya Ujasiriamali.

Wengine humu wanapitia kupumzika tu na wala hawana intrest na hayo na hao ndo wakatisha tamaa namba moja na watoa kejeli sana.

Mimi now Day nimestafu hata kupost humu. Huwa napita tu
 
mimi nipo tayari, ukiwapata watu usisahau kutembelea pm yangu
 
Mkuu unataka kukatisha tamaa kila mtu?
 
Aisee Nipo tayari nifate Pm tupange lini tukutana. Hakika umoja ni nguvu.
 
Kumbe mkuu ndio maana upost tena
 
Asante kwa ushauri mzuri mkuu. Nimependa ujasiri wako. Na hata mie niliamua kuanza tu kwa upande wangu na bado mambo yanaendelea naomba nitakutafuta kwa maelezo zaidi ya jinsi mlivofanikiwa
 
hii mada nimeitembelea karibia mara 10 nione michango na ili deserve kuwa na page hata 100, ila hii ndio Tanzania na hawa ndio vijana.
Vijana tunataka siasa za kuchambana, Fulani kala pesa na kunyoosheana vidole. Alafu serikali yenyewe aina masikio ukiijiingiza ktk kilimo kuna watu wanaingilia shughuli nzima, na mambo yanakuwa hayana faida tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…