suma Nongwa
Member
- Sep 12, 2017
- 97
- 47
Kwanza natoa shukrani kwko ndugu yangu kwa kuwa na muono chanya wa kimaishaKama vijana tupo serious kuna mambo kadhaa tunaweza kufanya;
1. Kufanya mobilization.Tuanzishe forum tukutane tuunde kundi tujisajili tukachukue mikopo halmashauri.Maneno bila vitendo ni sawa na bure.
2.Tutafute maeneo yenye rutuba tufanye kilimo chenye tija kwenye kilimo Serikali imeondoa tozo
sumbufu na watu wanapiga pesa kupitia kilimo tuwe serious, kama kuna mtu aliye serious na hii ishu ajitokeze kukaa kulaumu mtandaoni sio solution.
3.Tunaweza hata humuhumu kuanzisha forums kwa ajili ya kupeana mikakati ya kupiga biashara kukaa kulaumu Serikali tutalaumu hadi kuzeeka.
Kama tupo serious muda ni huu kama tunataka kuendelea kuwa walalamikaji JF basi utabaki kila siku kuilaumu Serikali.
Nawasilisha
Pili shukrani kwa wachangiaji wte mliopita
Nyongeza katika hii mada ningeshauri sisi wachangiaji km kwel Tupo tayali na haya tunaweza kufanya organization nzuri na yenye tija ili kujikwamua kiuchumi vijana wenzangu