nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,903
- Thread starter
-
- #101
Tunakaa na wanawake muelewe .Ila ww juxi juxi umeleta thread mkeo cjui kafanyaje fsnyaje
So mmeachana n vip amepona??
Hujui nyuma ya hiyo kataa ndoa kuna agenda gani inaawasukuma. Huenda umedandia trekta ambalo hujui linaenda wapi? Huu msukumo unafikiri umeibuka tu bila sababu maalum? Akili yako ndio fupi unapelekwa pelekwa tu mihemko inakusumbuaUna akili fupi.
Kukataa ndoa sio kutofanya mapenzi.
Tunafanya na tunaishi na wanawake ila hatufungi hizo za vyeti
Hakuna unachokijua.Hujui nyuma ya hiyo kataa ndoa kuna agenda gani inaawasukuma. Huenda umedandia trekta ambalo hujui linaenda wapi? Huu msukumo unafikiri umeibuka tu bila sababu maalum? Akili yako ndio fupi unapelekwa pelekwa tu mihemko inakusumbua
Unaelewa maana ya ndoa? Sheria ya ndoa ya tz inasemaje ukiishi na mwanamke miezi sita pika na kupakua nyumba moja?Simwachi naishi nae tu...ila SIMUOI
Unafahamu kuwa ukiishi na mwanamke kwa kipindi fulani hata kama hujafunga nae ndoa huyo ni mkeo.Mkuu kama umefunga ndoa na mwanamke mwema ni ww , watu wanaishi na wanawake ila kufunga ndoa big no [emoji107]
Kataa ndoa kwa ustawi wa maisha yako.Habari za usiku.
Ndoa ni utumwa.
Ndoa ni umasikini.
Ndoa ni source ya mafarakano
Ndoa ina leta chuki.
Ndoa ni ubinafsi.
Sijaona na sioni umuhimu wa ndoa.
Kijana KATAA NDOA
FANYA MAISHA
Mimi sina mke fala wewe ila kuoa nitaoa tu no excuseHauna point tulia wewe.
Mke wako ,ameshakufanya msukule
Katafte akili kwanza then utapata mke.Usilete Povu kisa ushaoa na mke anakulea madharau.
Sisi vijana tumeamua hatuoi.
Siku ukikua utaacha utoto. Huwezi kuwa mwanaume timamu bila familia.Hauna point tulia wewe.
Mke wako ,ameshakufanya msukule
Asee angeona huu upuuzi unaoandika huku angekimbia😃😃😃Tunakaa na wanawake muelewe .
Ila kuoa Hatuwaoi.
Na ndio maana ya kukataa ndoa
Mkuu kwa nini mviziane hivyo[emoji1787] Sasa kama unajua ukimkataa mtagawana kwanini usiweke mali zako kwa majina ya ndugu zako ambao hawatakuzulumu.
Mkuu napiga chini natafuta tena[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Oweni warembo ili muwe mnatombewa na masela. Siku ukigundua mkeo analiwa na dereva wa bajaji sidhani hata utakaa ukumbuke huo uzuri wake.
Hakuna hiyo kitu nimesha waacha sna na kila kitu changu kipo kwenye usalamaHujui ukikaa na mwanamke kwa muda flan ata kama hujamuoa kiserikali inakua kama umeoa na mkiachana mnagawana kama kawa?
Tego la unyang'anyi ?Ndoa ni tego la unyang'anyi.
Wengi wanaokataa ndoa wanajiandaa kuolewaNa hii kampeni ya wazungu ya kueneza ndoa za jinsia moja, saizi naanza kunote id za wakataa ndoa. Mnajifanya hamtaki ndoa kumbe mnataka muwe wake za watu. Mwanaume unaogopaje majukumu. Ni huiwezi kazi au bei ya mchele imekushinda.
Mnajificha kwenye kivuli cha kwamba wanawake wa mjini wakorofi, sijui mafeminist mbona vijijini wamejaa kondoo kibao si ukaokote uweke ndani hata ukinyea kwenye kikombe atakwambia rabekah mume wangu.
Nyie mna agenda nyingine.
Sasa si uzi uishie hapa mkuu umemaliza kila kitu😅Wengi wanaokataa ndoa wanajiandaa kuolewa