Vijana Tukatae ndoa

Vijana Tukatae ndoa

Una akili fupi.

Kukataa ndoa sio kutofanya mapenzi.

Tunafanya na tunaishi na wanawake ila hatufungi hizo za vyeti
Hujui nyuma ya hiyo kataa ndoa kuna agenda gani inaawasukuma. Huenda umedandia trekta ambalo hujui linaenda wapi? Huu msukumo unafikiri umeibuka tu bila sababu maalum? Akili yako ndio fupi unapelekwa pelekwa tu mihemko inakusumbua
 
Hakuna unachokijua.

Nionyeshe facts za kukataa ndoa zenye uhusiano na Ushoga.

Au umekurupuka na wewe
 
Mkuu kama umefunga ndoa na mwanamke mwema ni ww , watu wanaishi na wanawake ila kufunga ndoa big no [emoji107]
Unafahamu kuwa ukiishi na mwanamke kwa kipindi fulani hata kama hujafunga nae ndoa huyo ni mkeo.
 
Na hii kampeni ya wazungu ya kueneza ndoa za jinsia moja, saizi naanza kunote id za wakataa ndoa. Mnajifanya hamtaki ndoa kumbe mnataka muwe wake za watu. Mwanaume unaogopaje majukumu. Ni huiwezi kazi au bei ya mchele imekushinda.

Mnajificha kwenye kivuli cha kwamba wanawake wa mjini wakorofi, sijui mafeminist mbona vijijini wamejaa kondoo kibao si ukaokote uweke ndani hata ukinyea kwenye kikombe atakwambia rabekah mume wangu.

Nyie mna agenda nyingine.
 
Habari za usiku.

Ndoa ni utumwa.

Ndoa ni umasikini.

Ndoa ni source ya mafarakano

Ndoa ina leta chuki.

Ndoa ni ubinafsi.

Sijaona na sioni umuhimu wa ndoa.
Kijana KATAA NDOA
FANYA MAISHA
Kataa ndoa kwa ustawi wa maisha yako.
 
Tunakaa na wanawake muelewe .

Ila kuoa Hatuwaoi.

Na ndio maana ya kukataa ndoa
Asee angeona huu upuuzi unaoandika huku angekimbia😃😃😃

Hapo umemdanganya mtoto wawatu ehehe

Ndo maana mie before sijadate na mtu napenda nijue social platform zake , nione maujinga aliyonayo kichwani kama wewe
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Oweni warembo ili muwe mnatombewa na masela. Siku ukigundua mkeo analiwa na dereva wa bajaji sidhani hata utakaa ukumbuke huo uzuri wake.
Mkuu napiga chini natafuta tena
 
Hujui ukikaa na mwanamke kwa muda flan ata kama hujamuoa kiserikali inakua kama umeoa na mkiachana mnagawana kama kawa?
Hakuna hiyo kitu nimesha waacha sna na kila kitu changu kipo kwenye usalama
 
Ndoa ni tego la unyang'anyi.
Tego la unyang'anyi ?

Ila kumuweka mwanamke ndan akupikie, akufulie and more stuff ni sawa ila sio ukandamizaji.

Basi jifulie, jipikie, jizalie, jilelee. Huwez tumia mda wa mtu kwa kukufanyia hivyo vitu alaf badae useme hana haki kweny mafanikio yenu #RIDICULOUS.

Ni ubinafsi ni roho mbaya ni kukosa akili kusema mwanamke uliekaa nae couple of years hana haki kweny hayo mafanikio unayosema ni yako.

Mwanamke kweny ndoa analeta mambo meng ambayo lazima yachangie kweny mafanikio yako .Faraja ,Kichocheo na vit vingne ving mwanamke huvileta kweny ndoa .
 
Na hii kampeni ya wazungu ya kueneza ndoa za jinsia moja, saizi naanza kunote id za wakataa ndoa. Mnajifanya hamtaki ndoa kumbe mnataka muwe wake za watu. Mwanaume unaogopaje majukumu. Ni huiwezi kazi au bei ya mchele imekushinda.

Mnajificha kwenye kivuli cha kwamba wanawake wa mjini wakorofi, sijui mafeminist mbona vijijini wamejaa kondoo kibao si ukaokote uweke ndani hata ukinyea kwenye kikombe atakwambia rabekah mume wangu.

Nyie mna agenda nyingine.
Wengi wanaokataa ndoa wanajiandaa kuolewa
 
Back
Top Bottom