Vijana tumekuwa Watumwa, kutwa kuvaa tshirt za Kampuni huku kipato finyu

Tesco Tesco

Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
7
Reaction score
20
Vijana nchini tumekuwa watumwa, kwenye Kaampuni kutwa tunashinda tumevaa tshirts yenye logo za kampuni na hatulipwi ipasavyo

Kukitumika kivuli cha kujitolea tuvaa nguo za kampuni kuliko mavazi yetu tuliyonunua dukani. imagine six days uko na tshirt ya kampuni na Jumapili pekee kwa Kanisa ndio unavaa nguo yako..

Inafikirisha sana
 
Hapo unafanya marketing indirectly
 
Vijana nchini tumekuwa watumwa, kwenye Kaampuni kutwa tunashinda tumevaa tshirts yenye logo za kampuni na hatulipwi ipasavyo

Kukitumika kivuli cha kujitolea tuvaa nguo za kampuni kuliko mavazi yetu tuliyonunua dukani. imagine six days uko na tshirt ya kampuni na Jumapili pekee kwa Kanisa ndio unavaa nguo yako..

Inafikirisha sana
Ndo maish mkuu
 
hamna namna coz lengo ni kutafuta experience

Comments reserved
 
mlipwe acheni ufala megeuzwa kuwa mabango,mtaani watu wanalipa mabango halmashauri
 
Back
Top Bottom