Tesco Tesco
Member
- Jun 3, 2024
- 7
- 20
Hapo unafanya marketing indirectlyVijana nchini tumekuwa watumwa, kwenye Kaampuni kutwa tunashinda tumevaa tshirts yenye logo za kampuni na hatulipwi ipasavyo
Kukitumika kivuli cha kujitolea tuvaa nguo za kampuni kuliko mavazi yetu tuliyonunua dukani. imagine six days uko na tshirt ya kampuni na Jumapili pekee kwa Kanisa ndio unavaa nguo yako..
Inafikirisha sana
Ndo maish mkuuVijana nchini tumekuwa watumwa, kwenye Kaampuni kutwa tunashinda tumevaa tshirts yenye logo za kampuni na hatulipwi ipasavyo
Kukitumika kivuli cha kujitolea tuvaa nguo za kampuni kuliko mavazi yetu tuliyonunua dukani. imagine six days uko na tshirt ya kampuni na Jumapili pekee kwa Kanisa ndio unavaa nguo yako..
Inafikirisha sana
Huna Cha kufanya,km huna uzoefu tafuta uzoefu uende kwingineKipi kifanyike?
Vijana nchini tumekuwa watumwa, kwenye Kaampuni kutwa tunashinda tumevaa tshirts yenye logo za kampuni na hatulipwi ipasavyo
Kukitumika kivuli cha kujitolea tuvaa nguo za kampuni kuliko mavazi yetu tuliyonunua dukani. imagine six days uko na tshirt ya kampuni na Jumapili pekee kwa Kanisa ndio unavaa nguo yako..
Inafikirisha sana
Comments reservedVijana nchini tumekuwa watumwa, kwenye Kaampuni kutwa tunashinda tumevaa tshirts yenye logo za kampuni na hatulipwi ipasavyo
Kukitumika kivuli cha kujitolea tuvaa nguo za kampuni kuliko mavazi yetu tuliyonunua dukani. imagine six days uko na tshirt ya kampuni na Jumapili pekee kwa Kanisa ndio unavaa nguo yako..
Inafikirisha sana
Kama marketing kwanini hio kampuni usetengeneze nyingi ikagawa bure mtaaniHapo unafanya marketing indirectly
Kwasababu mtaani,hawawezi kuvaa Mara kwa mara,ukilinganisha na mtu wa ofisini ambae kunasehem Wana sale kabisa unatakiwa kuvaaKama marketing kwanini hio kampuni usetengeneze nyingi ikagawa bure mtaani
mlipwe acheni ufala megeuzwa kuwa mabango,mtaani watu wanalipa mabango halmashauriVijana nchini tumekuwa watumwa, kwenye Kaampuni kutwa tunashinda tumevaa tshirts yenye logo za kampuni na hatulipwi ipasavyo