Bado hatujampata Traore wetu, hao ni wanaharakati tu.Mbona mshampa kesi ya uhaini mkuu
Basi muendelee kusubiri maana wanawaua taratibu....hivi mdude kapatikana?Bado hatujampata Traore wetu, hao ni wanaharakati tu.
We umeweza🤓Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu.
Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa.
Vijana ndio tulipaswa kuwa tunakula matunda ya nchi na sio akina mzee Wassira.
Badala ya vijana wengi wa kitanzania kujikita kwenye kubeti na kufuatilia habari za vilabu vya Ulaya, ingekuwa vyema wakajihusisha na ukombozi wa Tanzania kutoka kwa viongozi walafi wa madaraka.
CCM ni mkoloni mpya tuondokane naye haraka!Basi muendelee kusubiri maana wanawaua taratibu....hivi mdude ukapatikana?
Genge la weziCCM ni mkoloni mpya tuondokane naye haraka!
Kila nikiita vijana waje kunisapoti wanakumbilia kubeti.We umeweza🤓
Traore hawezi kupatikana Tanzania kutokea Jeshini mpaka Yesu anarudi.Bado hatujampata Traore wetu, hao ni wanaharakati tu.
Tunaacha wajinga watutawale inauma mnooo!Traore hawezi kupatikana Tanzania kutokea Jeshini mpaka Yesu anarudi.
Kila mtu anauitaji ugali bado kujitosa uko nisawa na umetoa rehani Maisha yako chiefKila nikiita vijana waje kunisapoti wanakumbilia kubeti.
Kuna jamaa alibaki yeye na goli, akabutua.Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu.
Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa.
Vijana ndio tulipaswa kuwa tunakula matunda ya nchi na sio akina mzee Wassira.
Badala ya vijana wengi wa kitanzania kujikita kwenye kubeti na kufuatilia habari za vilabu vya Ulaya, ingekuwa vyema wakajihusisha na ukombozi wa Tanzania kutoka kwa viongozi walafi wa madaraka.
CCM ni balaa kubwa nchi hii.
Unaongolea waliopo bongo?Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu.