Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
Unawaita waku support kwenda kufanya nini ? Ukizingatia wengi wanakwenda kutumikia matumbo yao...Kila nikiita vijana waje kunisapoti wanakumbilia kubeti.
Hivyo cha kufanya anza kuonyesha mfano hata mtaani kwako au kijiweni kwako wataona kweli huyu anafaa hata ikitokea nafasi ya kijiwe cha Boda watakuomba hata kabla ya kuwaita....
Demokrasia katika Karne ya 21; Ni nini Tunachokitegemea, Uhalisia na Shabaha yetu ni Wapi tunataka Kufika ?
Kinadharia Demokrasia ni Nguvu ya UMMA; ila kiuhalisia kuna utofauti mkubwa sana kutokana na ugumu katika utendaji au kwa ujanja na makusudi ya mifumo ambayo inanufaisha Status Quo Je Demokrasia tunayotegemea imebakia kwenye Kuchagua watu wa Kutuamulia mambo au Kuchagua watu wa kuwakilisha...