Unawaita waku support kwenda kufanya nini ? Ukizingatia wengi wanakwenda kutumikia matumbo yao...Kila nikiita vijana waje kunisapoti wanakumbilia kubeti.
Nawasifu wa hindi kuna kitu nime experience kwao tangu nmefanya nao kazi kuna vitu aliniambia jamaa mmoja wa kihindi huyo nikajisemea wabongo kutoka kwa style hiyo tusubiri tuWazungu wanatuona hatuna utu, ni mahayawani fulani hivi yaliyojaa ushenzi. Wanaona tunashindwa kufanya siasa stahimilivu kujibu hoja kwa hoja mwendo ni kutekana na kuumizana halafu wahalifu hawajulikani ni kina nani. Wanaostahili kuwajibishwa ni maafisa usalama wote walioko kwenye eneo lilikotokea tukio anzia na mwenyekiti wa usalama na wajumbe wake wawajibishwe kwa uzembe.
We had maguIbrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu.
Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa.
Vijana ndio tulipaswa kuwa tunakula matunda ya nchi na sio akina mzee Wassira.
Badala ya vijana wengi wa kitanzania kujikita kwenye kubeti na kufuatilia habari za vilabu vya Ulaya, ingekuwa vyema wakajihusisha na ukombozi wa Tanzania kutoka kwa viongozi walafi wa madaraka.
CCM ni balaa kubwa nchi hii.
Wewe dada nimekupenda bure ebu wakupe konyagi kubwa hapo nakuja kulipa.Mbona mshampa kesi ya uhaini mkuu
Mkuu tayari tumeona wewe unatoshea kabisa haina haja ya kutafuta mwingine tena.Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu.
Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa.
Vijana ndio tulipaswa kuwa tunakula matunda ya nchi na sio akina mzee Wassira.
Badala ya vijana wengi wa kitanzania kujikita kwenye kubeti na kufuatilia habari za vilabu vya Ulaya, ingekuwa vyema wakajihusisha na ukombozi wa Tanzania kutoka kwa viongozi walafi wa madaraka.
CCM ni balaa kubwa nchi hii.
Kujipendekeza kote kule lakini bado akaondolewa kwenye nafasi yake!Kuna jamaa alibaki yeye na goli, akabutua.
Traole ni mwanamapinduzi lissu ni mpingajiBado hatujampata Traore wetu, hao ni wanaharakati tu.
Nitafutie vijana 300 shupavu kila mkoa tuanze mafunzo ya ki mapinduzi.Mkuu tayari tumeona wewe unatoshea kabisa haina haja ya kutafuta mwingine tena.
Magu was an accident to our nation.We had magu
Burkinabe ni tofauti na Danganyika na Zaainzibaa. Wale wanajitambua. Si machawa, mchwa, virotobo, funza wala kunguni. Ni watu wanyoofu kama ilivyo maana ya nchi yao yaani Burkina nchi ya Faso watu wanyoofu. Huwezi kulinganisha chawa na watu mwanangu.Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu.
Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa.
Vijana ndio tulipaswa kuwa tunakula matunda ya nchi na sio akina mzee Wassira.
Badala ya vijana wengi wa kitanzania kujikita kwenye kubeti na kufuatilia habari za vilabu vya Ulaya, ingekuwa vyema wakajihusisha na ukombozi wa Tanzania kutoka kwa viongozi walafi wa madaraka.
CCM ni balaa kubwa nchi hii.
Ndio muwe tayari kufa pia ikibidi.Unaongolea waliopo bongo?
Hapo ndipo wabongo tunafeli, kuogopa kifo.Kila mtu anauitaji ugali bado kujitosa uko nisawa na umetoa rehani Maisha yako chief
😃😃😃We jutose😃Hapo ndipo wabongo tunafeli, kuogopa kifo.
MdanganyeChukua kipaza sauti nenda pale kkoo ongea haya uliyoandka kwa sauti kubwaaaa.....utapata wafuwasi wengiiii