Vijana tumtafute Ibrahim Traore wa Tanzania tuache woga na kuliallia

Kwani mkuu uzi wako usinge kamilika bila ya kutuhusisha vijana tunaobeti kwenye uzi wako??? 😑😑
 
Jeshi kubwa sana liko mtaani (waliomaliza mkataba jkt)watafute mlianzishe nao wanau chungu sana..
ILi mpasuliwe vizuri maana mnajifanya mnauchungu na hii nchi nyau nyie
 
Kwa akili za watanzania hizi hizi au zingine mkuu? Hata tukisema ametokea anafaa awe mfuasi wa chama gani ili watu wa upande wa pili wasimpige mawe?

Mara nyingi kiongozi mzuri huwa ni mzuri akiwa nje ya nchi yako ila akiwa ndani huwezi kuuona uzuri wake.

Kuwa kiongozi Bora ndani ya nchi za Africa si jambo rahisi kwa maana lazima kuna kundi la watu fulani ambao si wanyoofu(ambao ndio wengi) lazima utawaumiza na hawatokua tayari kuumia.

Nakumbuka enzi zile za raisi wa awamu ya tano, humu ndani kundi la watu wengi walimuona wa hovyo ila ulikua ukitoka hapa uingie Kenya wakishajua wewe ni mtized habari zilikua ni za kumruhusu jamaa tu hadi unaona kero.

Kwahiyo pengine Ibra unamuona ni raisi mzuri kwakua uko Tanzania ila ingekua huko na ikatokea amefanya jambo ambalo limeiathiri sehemu uliyopo usingemuona kama unavyomuona sasa hivi.

So, kiongozi Bora kwenye hizi nchi zetu za Africa bado litabaki kuwa swala subjective sana kwa wananchi waliomi ndani ya nchi husika.
 
😀😀
 
Labda walioko jeshini huko ndio wajitafute tafute, sisi hatuna la kufanya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…