Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeongea kirahisi sana, wapi huko kupaka kucha rangi ni 10000 na watu wanapanga foleni. Ni kinondoni sehemu gani?
Wewe huwa unapaka kwa shingapi? Na huwa mnapanga foleni eti?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fursa hiyo
Mimi huwa najipaka mwenyewe jamani!Wewe huwa unapaka kwa shingapi? Na huwa mnapanga foleni eti?
Itabidi nianze kuwa nakupaka mpenzi wangu.Mimi huwa najipaka mwenyewe jamani!