Vijana tunayumba sana

Vijana tunayumba sana

Dah mkuu... umetufumbua vyema akili vijana tusiojiongeza.

Zaidi umenifurahisha uliponukuu maneno ya kwenye vitabu vya dini hasa hii mistari miwili:

1. "Asiyefanya kazi na asile.
2. "Hapa kazi tu.

Hivi hii mistari ipo kwenye kitabu gani?
 
Back
Top Bottom