Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 780
- 740
👏👏Kuridhika kwa kazi hizi za kitanzania ni ngumu kidogo. Ifuatayo ni orodha fupi ya yanayowafanya waajiriwa wasiridhike na ajira zao
1. Mshahara usiokidhi mahitaji
2. Majukumu/cheo kikubwa Vs mshahara kiduchu
3. Mwajiri mbaya
4. Boss mbaya
5. Mazingira mabaya ya kazi
6. Kutokuona uelekeo wa nafasi yako baada ya kuwepo kwa muda
7. Makato makubwa ya Kodi
8. Kuminywa kwa haki za mfanyakazi kupata pensheni
9. Ufinyu wa motisha kazini
10. Roho mbaya/husda/mazingara
Mengine watanisaidia wazalendo wenzangu
Wee ni mpinzani... Mi siongelei Siasa hapaAcha ujinga wewe, hizo ni akili za kizandiki na ni transition za kuelekea kwenye uchawi. Unaonekana kuumizwa na hatua za maendeleo anazopiga mwenzako.
Na watu dizaini yako siku zote hupenda kuona mwenye mafanikio yanamkuta mabaya. Nadhani ni bora mtu kama ana muda wa ziada kupiga kazi, kazi ndiyo heshima kwa mwanaume.
Hata rais kama angeridhika basi leo angekuwa anafundisha huko Sengerema
Naongelea kazi, kuna mahala nimeongelea chama hapa?.Wee ni mpinzani... Mi siongelei Siasa hapa
Kwa akili ya kawaida unaweza ukaacha kazi tbs ukaenda TBL??Naongelea kazi, kuna mahala nimeongelea chama hapa?.
Kama anafanya ipasavyo kazini kwake na kufanya vya ziada hakuna shida.
Labda kama hafanyi kazi yake na kwingine kufanya zaidi.
Acha roho ya kichawi wewe. Umejaa ubaradhuli tu
Huyo Mhe Rais aliyesema watu waridhike na kazi zao mbona yeye hakuridhika na kazi yake ya ualimu akagombea ubunge?Habari zenu Wana JF
Hivi karibuni nilimsikia Mhe. Rais akisema Vijana wanapashwa kuridhika na nafasi walizo nazo. Binafsi nilihisi analenga watendaji wake (viongozi) kumbe hapana hii kauli inalenga mpaka watu wa kawaida tu.
Ninaye jamaa namfahamu yeye ni mtumishi wa TBS lakini Cha kushangaza anaonekana mara kadhaa katika interview za mashirika mengine yaani mpaka private TBL anatafuta nafasi ya kazi Bado anafanya na part time katika taasis nyingine.
Sasa sijui hajalidhika na nafasi yake au ni tamaa au ndo anatafuta uzoefu (experience) wa interview yaani hasomeki kabisa, maana mtu Kama huyu anaziwazibia wengine nafasi ambao Wana uhitaji wa kweli.
Vipi wew ushawahi kukutana na mtu Kama huyu ? Ye hua ana mauzauza yapi?
Go Back to the topic, I am working. SikuelewiKwa akili ya kawaida unaweza ukaacha kazi tbs ukaenda TBL??
Mkuu,kuridhika ni mwanzo wa kufa.....Maisha ni mapambanoHabari zenu Wana JF
Hivi karibuni nilimsikia Mhe. Rais akisema Vijana wanapashwa kuridhika na nafasi walizo nazo. Binafsi nilihisi analenga watendaji wake (viongozi) kumbe hapana hii kauli inalenga mpaka watu wa kawaida tu.
Ninaye jamaa namfahamu yeye ni mtumishi wa TBS lakini Cha kushangaza anaonekana mara kadhaa katika interview za mashirika mengine yaani mpaka private TBL anatafuta nafasi ya kazi Bado anafanya na part time katika taasis nyingine.
Sasa sijui hajalidhika na nafasi yake au ni tamaa au ndo anatafuta uzoefu (experience) wa interview yaani hasomeki kabisa, maana mtu Kama huyu anaziwazibia wengine nafasi ambao Wana uhitaji wa kweli.
Vipi wew ushawahi kukutana na mtu Kama huyu ? Ye hua ana mauzauza yapi?
Uko vizuri sana bossKuridhika kwa kazi hizi za kitanzania ni ngumu kidogo. Ifuatayo ni orodha fupi ya yanayowafanya waajiriwa wasiridhike na ajira zao