Mkuu niunganishe au nipe connection uko unakojitolea japo nipate hela ya sabun kidgOy oy niaje wazee.
Mm ni wakiume nimepata kuijua JF 2014 ila officially Nilianza kua na account 2015 .
Nimemaliza chuo mwaka huu diploma .
But nashukuru nimepata sehemu najitolea kwenye taasisi ya serikali tunapewa 15 per day . fresh from school.
Naishi kwa wazazi bado sijatoka home ila mambo yakikaa vzr 2019 nasepa naanza kujitegemea.
Sijaoa ila Nina demu born96
Kuludaun dada yetu usitufanyie ivo,unatak atusaidie nan kam sio nyiehapa nina notebook,nalist majina yenu,,,,,mnatongoza huko PM watu ambao tunaweza kuwa vibibi vyenu..😕
Dah msitufanyie ivoMwenzangu Vitoto tupu, mtu hutakiwi hata kuchangia mawazo thread zao
Mungu yu mwema daima...Babuuuu umeloga nini ..
Naona Liverpool saiv inafanya vizuri mzeee
Kwani hao unaowaita "vitoto" hawana ruhusa ya kuwa JF....Embu nyie wazee na wabibi acheni kujimilikisha JF??..sisi mayouth pia ni haki yetu kijiachia humuMwenzangu Vitoto tupu, mtu hutakiwi hata kuchangia mawazo thread zao
Vip mnalipa kodi sh ngap mkuu kwa mwezi kwa website hyo?Nliifaham na kujiunga Jf nilivyokuwa na search vitu tofauti tofauti mtandaoni kipindi hicho nilikuwa kidato cha nne.
Nmedumu na sasa niko mwaka wa pili chuo kikuu.
Ni mjasiriamali pia, mimi pamoja na wenzangu tumeunda e-commerce website ya kitanzania ambayo itakuwa kampuni kubwa badae,
www.afrotai.com
Karibuni sana mjionee bidhaa za kitanzania na mpate kuletewa mpaka mahali mlipo kwa bei nafuu.
Pia wajasiriamali wa kitanzania mnaweza kujiunga na ku post bidhaa zenu, ni bure kwa sasa!!
Pamoja kamanda...!We jamaa naon umeniwakilisha vyema big up
Mwalimu wangu alienifundisha pale coet somo la ujasiriamali yeye kaajiriwa ,*****
Nimeifaham jf zamani sana nilipokuwa nikisearch vitu google na kukuta link za jf, nilipoingia nikagundua kwamba huu mtandao una mambo mengi sana ambayo kwa mda huo nilitaman kuyajuaMambo vipi vijana wenzangu,
Nachukuwa fursa hii kuwakaribisha katika Uzi huu pendwa tujuane na tujuzane mambo mbalimbali..
* Uliijuaje JF ukiwa na umri
mdogo kama huu maana
member wengi wa huu
mtandao ni watu
wazima japo mambo yao
utadhani kama ni under 18
* Vipi kuhusu life kwa ujumla,
bado uko chuo au kwa mtaa,
Unajitegemea au bado uko kwa
wazee
* Kama umetoka kwa wazee, ni
mbinu/jitihada zipi ulizitumia
hadi ukaweza kujinasua kutoka
kwa wazee.
* Kama umemaliza chuo vipi
kuhusu michakato ya kazi,
umejiajiri, umeajiriwa au bado
unasota mtaani.
* Vipi kuhusu mapenzi, una
mpenzi/umeoa au upo
kibachelabachela..
So basi, karibuni sana vijana wenzangu tujadili (Miaka 25 kushuka chini)
Dah nimechelewa siti ila sio mbaya, mm now niko na 17 yrs, nimeijua na kujiunga JF since 2016 nikiwa na 15 yrs now bado niko masomoni(kidato cha tano).
Unasoma Combi Gani..Dah nimechelewa siti ila sio mbaya, mm now niko na 17 yrs, nimeijua na kujiunga JF since 2016 nikiwa na 15 yrs now bado niko masomoni(kidato cha tano).
Siyo kwa kupenda kwangu.Usirudishe mpira kwa kipa mkuu