Vijana tusiozidi miaka 25 ambao tupo humu JF tukutane hapa

Me nilikuwa msomaji kuanzia mwaka 2016

Nikajiunga rasmi na jina langu mwaka 2017

Mwaka huu nikaja na ID hii

Bado mimi ni dogo sana niko form five na niko kwenye Ujasiriamali

JF huwa napata elimu kubwa kuliko ile ya kwenye chand, BS, Roger Mancaster na wale walimu uchwara wale wa kule mchikichini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia shule kijana..Roger Moncaster kitabu kizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitumiwa link na mshikaji(ilikua ya tangazo LA kazi) Kwenye kuizururia link ndo nikaifahamu JF .. I'm 21 next month 22😃😃...
 
Nilitumiwa link na mshikaji(ilikua ya tangazo LA kazi) Kwenye kuizururia link ndo nikaifahamu JF .. I'm 21 next month 22[emoji2][emoji2]...
Kweli wewe wa rika langu. Hadi kajina kako ka kitoto.

Kwa hiyo vipi sasa mtoto mama?
 
Mimi niliijua JF 2012 mwishoni ile natafuta hints za matokeo ya mtihani wa taifa, ilikuwa niki google tu kuhusu matokeo inanileta moja kwa moja mjengoni humu sasa sijui nilikuwa na google kiswahili[emoji23][emoji23]

Baadae ile kupangiwa shule form5 nadhani ndio nika ji-register rasmi 2013 kutafuta ushauri kuhusu kombi, vitabu, tuition nk jukwaani na walimu kibao wa advance kitambo hicho.

Kipindi hicho ilikuwa ni mimi na jukwaa la elimu tu majukwaa mengine sikuwahi kugusa, naanza chuo 2015 ndio kidoogo nazuru majukwaa mbalimbali na saivi ndio nipo majukwaa ya wakubwa 24/7[emoji23][emoji23][emoji23]

Na DM za JF nimeitumia mara1 and it was very big success[emoji23][emoji23][emoji23] ukubwa raha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...madogo ...msifikiri kuwa chini ya 25 ni jambo la kujivunia..hapana...umri huo ni hatari sana...ni umri wa kujipanga na kujua utaifanyia nini dunia...ni umri wa kazi sana na Bata sana ...ili Angalau na wewe uwe na "enzi zetu..."...na sio umri wa kulialia kwenye majumbani ya ibada...Sisi wenye 78 hatukurukia huku..tulipita humohumo..tuliambiwa hayahaya..walioyachukua tunawaona...na walioyapuuzia pia tunawaona...hata Bibi naye alikuwa binti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Ushauri mzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks,,kwa upande wangu Mimi bado nipo chuo pia naishi home,Kuhusu JF at first niliijua nilikua form one2013,Kuna Chalii mmoko alinionyesha ndo nikaanza ku'struggle hadi Mwaka huu mwezi January ndo nikafanikiwa kuwa na Account rasmi nayo nilifunguliwa na budhaa mmoja anaitwa Sossy B,nilmfata fb nikamwomba akanifungulia ikawa echu echu,,Jf imenifaidisha kinyama kwa mambo shazi2,Kuna jukwaa la Elimu,Lugha,Doctors yamenifaidisha sana,bila kusahau ku'refresh mind kwa story za GuDume na Jukwaa la Jokes pale fiade,Ila kitu kinachonikera humu ni Ma'manzi kunifata PM wananiuliza nna kazi gani na umri gani?nikiwaambia ni mwanafunzi bado alaf sijafika 22....Years wanakua hawajibu tena Text kudadeki zao...Am out

Chalii ya chuga uweunanipa shikamoo aiseee
 
Niliingia JF 2011 nkafungua account 2013 baadaye nikafungua nyingine 2018.
Siko mtaan napiga kazi za watu
 
Back
Top Bottom