Nimeanza kujitegemea nikiwa 21
Nimeoa nikiwa 23
Elimu 4
Mpaka sasa nina 24 nina mke sina mtoto.
Pia shule kijana..Roger Moncaster kitabu kizuri sanaMe nilikuwa msomaji kuanzia mwaka 2016
Nikajiunga rasmi na jina langu mwaka 2017
Mwaka huu nikaja na ID hii
Bado mimi ni dogo sana niko form five na niko kwenye Ujasiriamali
JF huwa napata elimu kubwa kuliko ile ya kwenye chand, BS, Roger Mancaster na wale walimu uchwara wale wa kule mchikichini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha utàkuta lijamaa ukoo lina miaka 33 alafu na lenyewe linajiita Dogo. Hhahah aibu!!Kumbe mpaka wanaume huwa wanajidogodisha!??
Kweli wewe wa rika langu. Hadi kajina kako ka kitoto.Nilitumiwa link na mshikaji(ilikua ya tangazo LA kazi) Kwenye kuizururia link ndo nikaifahamu JF .. I'm 21 next month 22[emoji2][emoji2]...
😂😂😂😂😂😂Kweli wewe wa rika langu. Hadi kajina kako ka kitoto.
Kwa hiyo vipi sasa mtoto mama?
Ushauri mzuri sanaDah...madogo ...msifikiri kuwa chini ya 25 ni jambo la kujivunia..hapana...umri huo ni hatari sana...ni umri wa kujipanga na kujua utaifanyia nini dunia...ni umri wa kazi sana na Bata sana ...ili Angalau na wewe uwe na "enzi zetu..."...na sio umri wa kulialia kwenye majumbani ya ibada...Sisi wenye 78 hatukurukia huku..tulipita humohumo..tuliambiwa hayahaya..walioyachukua tunawaona...na walioyapuuzia pia tunawaona...hata Bibi naye alikuwa binti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160
Japo ni nje ya mada lakini naomba niwe mlezi wenu.... Kwa nia njema kabisa
Chalii ya chuga uweunanipa shikamoo aiseeeThanks,,kwa upande wangu Mimi bado nipo chuo pia naishi home,Kuhusu JF at first niliijua nilikua form one2013,Kuna Chalii mmoko alinionyesha ndo nikaanza ku'struggle hadi Mwaka huu mwezi January ndo nikafanikiwa kuwa na Account rasmi nayo nilifunguliwa na budhaa mmoja anaitwa Sossy B,nilmfata fb nikamwomba akanifungulia ikawa echu echu,,Jf imenifaidisha kinyama kwa mambo shazi2,Kuna jukwaa la Elimu,Lugha,Doctors yamenifaidisha sana,bila kusahau ku'refresh mind kwa story za GuDume na Jukwaa la Jokes pale fiade,Ila kitu kinachonikera humu ni Ma'manzi kunifata PM wananiuliza nna kazi gani na umri gani?nikiwaambia ni mwanafunzi bado alaf sijafika 22....Years wanakua hawajibu tena Text kudadeki zao...Am out
Sent using Jamii Forums mobile app