Vijana tusiozidi miaka 25 ambao tupo humu JF tukutane hapa

Alafu wakubwa mna matatizo gani et[emoji848][emoji848]kila point inayowekwa Kama Ni ya wanawake wa kwanza kucoment mwanaume Kama mada ya vijana was Kwanza kucoment mzee nyinyi wazee wa dar mungu anawaona[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji57]
 
Jf niliifahamu kipindi nipo form 4, awamu ya pili ya J.K. Nilikuwa msomaji tuuu mpaka nilipomaliza form 6 ndiyo nikajiunga kwa mara ya kwanza.
Siku ya kwanza tu kuweka bandiko humu nilijibiwa "pumba" na mkuu bulldog, nilipanic sana ila baadae nikajifunza namna ya ku-handle matters online.

Nipo ghetto naendelea na harakati za kuboresha kesho yangu, chuo nimeshamaliza tayari ila mambo bado hayajawa "mswanu", tunakomaa kimtaa-mtaa.
 
Naweza kusema kuwa Mimi.ndiyo nilikuwa member mdogo sanaa lakini michango yangu ilikuwa kama.mtu mwenye master

niliifahamu jf nikiwa darasa la 5 enzi hizo tunafundishwa somo la TeHAMa
nikiwa darasa la 6 2007 ndipo nikajiunga na jf...enzi hizo kumiliki email na interview kwangu mimi haikuwa inshu...

baada ya harakati za maisha + O level nikasahau username na password coz ilikuwa kitambo kweli

mwaka 2012 nikiwa nimemaliza 4m 4 mikajiunga tena ..lakini safari hii nilikuwa ndo nabalehe so nikawa mzee wa fiksi sanaa jukwaani mara kujifanya wa kishua kumbe hovyo tu..
kuna manzi fulani mtu mzima akajaa kwangu sasa baada ya kuonana naye...alinijibu SHOmbo sanaa na kusema ataniumbua humu jukwaani
hapo ni ka mute jf kwa muda wa miaka 2.....pasipo kuingia humu kwa kuhofia
mpaka kuingia 2014 baada ya kumaliza nikajiunga tena na hii I'd ambayo imebadilishwa zaidi ya mara 20 sasa...

maisha ya sasa yapo guda
nipo UDSM CoET Civil mwak wa 4..
 
Hahahaaaaa!, umenikumbusha mbali sana interview ya kujiunga JF ilikuwa tight sana hasa oral, bora written ilikuwa nafuu kidogo..

Nakumbuka kwenye oral Mello aligonga swali, " Do you think you are a great thinker?" Nikajibu "Yes" akaniuliza, "What is thinking?" Daah , nilitoa macho kama Betlehem wa JF, lakini nashukuru nilipita interview.
 
Ohoo kwa hiyo ilikua kila ukitaka kujiunga jf unaenda ofisini kwao interview??
 
Nimeijua 2014,mzee flani hivi ndiyo alinijuza
Nikajoin 2015
Sasa nipo kivingine

Sijaowa, nipo single nitaowa Mungu akipenda

Kazi; nimejikita zaidi kufanya kazi za kilimo na ufugaji hususani za kifamilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…