jombi95
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,408
- 2,184
Boss tuonane niko B22 hapa bench la nyuma kabisa[emoji2][emoji2][emoji2]Naweza kusema kuwa Mimi.ndiyo nilikuwa member mdogo sanaa lakini michango yangu ilikuwa kama.mtu mwenye master
niliifahamu jf nikiwa darasa la 5 enzi hizo tunafundishwa somo la TeHAMa
nikiwa darasa la 6 2007 ndipo nikajiunga na jf...enzi hizo kumiliki email na interview kwangu mimi haikuwa inshu...
baada ya harakati za maisha + O level nikasahau username na password coz ilikuwa kitambo kweli
mwaka 2012 nikiwa nimemaliza 4m 4 mikajiunga tena ..lakini safari hii nilikuwa ndo nabalehe so nikawa mzee wa fiksi sanaa jukwaani mara kujifanya wa kishua kumbe hovyo tu..
kuna manzi fulani mtu mzima akajaa kwangu sasa baada ya kuonana naye...alinijibu SHOmbo sanaa na kusema ataniumbua humu jukwaani
hapo ni ka mute jf kwa muda wa miaka 2.....pasipo kuingia humu kwa kuhofia
mpaka kuingia 2014 baada ya kumaliza nikajiunga tena na hii I'd ambayo imebadilishwa zaidi ya mara 20 sasa...
maisha ya sasa yapo guda
nipo UDSM CoET Civil mwak wa 4..