Vijana tusiozidi miaka 25 ambao tupo humu JF tukutane hapa

Boss tuonane niko B22 hapa bench la nyuma kabisa[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hawa kaka zetu tuwaombee.

Nyuzi za wanawake utaskia first sit yangu.

Za wadogo zao nazo wamevamia.... tunabahati mbaya kupata kaka kama hawa.
 
Unaweza kutudokeza huyo mmama mkuu nasi tukajaribu bahati?
 
Wakuu wadogo zenu tunaombeni nafasi tujadili mambo yetu.

Ni ombi tu kaka zetu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Acha zako mkuu kwa hiyo unawazidi wasomi wa vyuo vikuu kwa akili kabisa....wale vijana naowaona pale dasalama na wadada wazuri wazuri??
 
Daaah dinahicious umenikumbusha mbali mno aisee... Ilikuwa 2011 pale nilipoijua hiyo blog... Nikawa na wanamaisha jamaa zangu kuhusu mastory ya humo... Basi walikuwa wana niona malaya kweli yaani.. Kwa sababu ya Topic nazo wapatia kutoka kwa dina
 
Malizia Tena jf ni zaidi ya raha
 
Nipo kwenye 21-25 years na niliijua jf mwaka 2015 baada ya kuskia mwenzangu niliyekuwa naye kidato cha tano akizungumzia alivokuwa anaulizia selection jf then nikapata shauku ya kuijua vzr na hatimae nikja kujiunga 2017 baada ya kumaliza form six na nakumbuka post yangu ya kwanza niliulizia kuusu course za chuo ila majibu niliyoyapata nayajua mwenyew japo pia nilighadhabika sana ila baadae nilianza kuendana na mfumo mpaka sasa...bado nipo napambana na aya maabdishi ya wazungu bado sijajua uko mbeleni pakoje...kuusu mahusiano bado nipo narukaruka sijapata pakutua
 
Muwe mnataja jinsia wakuu ili twende sawa.

-Ila wanawake acha tu sijawaona kwenye huu uzi. Wao hawataki kuonekana wakubwa wala wadogo. Wanapenda katikati saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…