Vijana tusiozidi miaka 25 ambao tupo humu JF tukutane hapa

Hahahaa, very funny
 
Acha zako mkuu kwa hiyo unawazidi wasomi wa vyuo vikuu kwa akili kabisa....wale vijana naowaona pale dasalama na wadada wazuri wazuri??
Hahhaha sasa mkuu wasomi wengi hawaelimika, elimu inaelekea kuwashinda ..kwanin nisiseme Nina akili nying zaid yao?! Uku mtaani zile A na B+ wanazoandikiwaga kweny Yale mavyeti yao hazina maana yeyote. Wakitoka uku machuo wakija mtaani ni kuanza upya tu..

Sasa wengi wanafeli wana ona aibu ..
 
21 nimeondoka nyumbani kibishi ila bado wananihitaji ,.
mom anadai me mdogo natakiwa niendelee kukaa home , maisha bado sijayajenga ila nashaanza kuuona mwanga mbeleni ,
nipo kwenye mahusiano japo siyachukulii serious kivile ,.

Vijana wenzangu huu ndo mda wa kutafuta kwa bidii, jasho,maumivu, tukishindwa age hii sijui kwenye 30s tutaeza toboa , .
 
SIJAONA UBAYA WOWOTE HAPA

SASA NASHANGAA HII COMMENT INAVYOSHAMBULIWA.. MADOGO HAWATAKI
KUITWA MADOGO KAzi kweli kweli
Sijui wameelewaje mkuu hata mimi nashangaa....wala sikufikiri kama ingechukuliwa negatively kiasi hicho.
 
Kutukana dhambi. Mm situkan
Kama ni hvo acha nikae kmya
Kwani akili yako na ya kenge vinatofautiana nini wee Matako...halafu acha shobo sikujui mimi situmii izo mambo za nyuma wape wengine.
 
Oy oy niaje wazee.
Mm ni wakiume nimepata kuijua JF 2014 ila officially Nilianza kua na account 2015 .

Nimemaliza chuo mwaka huu diploma .

But nashukuru nimepata sehemu najitolea kwenye taasisi ya serikali tunapewa 15 per day . fresh from school.

Naishi kwa wazazi bado sijatoka home ila mambo yakikaa vzr 2019 nasepa naanza kujitegemea.

Sijaoa ila Nina demu born96
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…