Usirudishe mpira kwa kipa mkuuNiliijua JF kwakua mimi ni mtu wa kusoma soma online nilikua namsoma Dinahcious & co kuna siku nikiwa nasearch online story yenye kutisha ikaja link ya jf. Nilivyoingia na kuzidi kuperuzi nikakuta stori ya jamaa ambaye alitaitiwa na vibaka akiwa na mpenzi wake wakataka kumlawiti mshkaji, jamaa akakimbia akamuacha mke.
Niko mtaani, najitegemea ila soon narudisha mpira kwa kipa.
Kwa wazee ilinibidi tu nitoke sikua na option. Ila sitaelezea kilichotokea.
Bado nasota mtaani.
Sijaoa. Sipo single.
Kawaida tu.hapa nina notebook,nalist majina yenu,,,,,mnatongoza huko PM watu ambao tunaweza kuwa vibibi vyenu..😕
Karibu sana mkuu.Japo ni nje ya mada lakini naomba niwe mlezi wenu.... Kwa nia njema kabisa
Fiksi mkuu, baba swalehe nakuzoom tuHata 20 sijafika
Ndo kwanza 19
Bulldog hutamsahau kwa alichokufanyia hahaaJf niliifahamu kipindi nipo form 4, awamu ya pili ya J.K. Nilikuwa msomaji tuuu mpaka nilipomaliza form 6 ndiyo nikajiunga kwa mara ya kwanza.
Siku ya kwanza tu kuweka bandiko humu nilijibiwa "pumba" na mkuu bulldog, nilipanic sana ila baadae nikajifunza namna ya ku-handle matters online.
Nipo ghetto naendelea na harakati za kuboresha kesho yangu, chuo nimeshamaliza tayari ila mambo bado hayajawa "mswanu", tunakomaa kimtaa-mtaa.
Trust me mkuu , sitaki kujisifuFiksi mkuu, baba swalehe nakuzoom tu
Mkuu usifanye ivo banaa ..hapa nina notebook,nalist majina yenu,,,,,mnatongoza huko PM watu ambao tunaweza kuwa vibibi vyenu..😕
Nakuzoom comment zako majukwaa mengi tu, sitaki kuamini kuwa wewe sio doctor.Trust me mkuu , sitaki kujisifu
Ila nliwahi sana kupevuka kiakili....
Angalia thread zangu za kwanza utaniamini
I think am the youngest jf member
Hahaha baba swalehe anatushika anadhani sisi ni madogo sana.Fiksi mkuu, baba swalehe nakuzoom tu
Kisa tumebalehe juzi mkuuHahaha baba swalehe anatushika anadhani sisi ni madogo sana.
I think I'm the most youngest member[emoji23] [emoji23]Trust me mkuu , sitaki kujisifu
Ila nliwahi sana kupevuka kiakili....
Angalia thread zangu za kwanza utaniamini
I think am the youngest jf member
AsanteeeUna miguu mizuri sana mrembo
Kiukwel sina hata Shughuli maalumu ila JF naishukuru sana kunikutanisha na watu who care about ila siki homemkuu ushajenga tayari au bado unakaa kwa mama
Me or ke?Niliwahi kuwa member wa jf mwaka 2013
Nikajipa break mpaka mwaka nmejiunga tena lakini cha kushangaza hata miaka 25 sijafikisha